Mchungaji D kt Geordavie akiombea bajeti mbalimbali za waumini walizoziletwa kwa ajili ya kutole wa neno la unabii hiii leo. M...
Mchungaji Dkt Geordavie akiombea bajeti mbalimbali za waumini walizoziletwa kwa ajili ya kutolewa neno la unabii hiii leo.
Mchungaji Dkt. Geordavie akiwa anahubiri katika hema la kukutania ngurumo ya upako kisongo jijini Arusha hii leo.
Mchungaji akiwa anaendelea na huduma ya sikuukuu ya kukusanya hii leo.
Mchungaji akiwaombea waumini waliouthuria katika sikukuuu hii ya kukusanya hii leo.
Mchungaji Dkt. Geordavie akiombea bajeti mbalimbali za waumini walizoziletwa kwa ajili ya kutolewa neno la unabii hii leo. (Picha na Woinde Shizza)
Na Woinde Shizza, Arusha
Alisema kuwa ni wajibu wa kila mtumishi
kukusanya na kutoa kile alicho na uwezo nacho
ili kuweza kuwasaidia watoto yatima, wananchi
wasiojiweza ili kuweza kuwafanya nao wajisikie ni sehemu ya jamii
Alisema kuwa mbali na watoto yatima pia
aliwasihi viongozi wa makanisa ambayo yanajiweza kuweza kusaidia yale ambayo ni machanga ili kuweza kuwapa nguvu ya kuweza kuendelea kueneza injili na kumtangaza Mungu kupitia makanisa yao.
Mwaka jana msaada wa zaidi ya shilingi
milioni 15 ulitolewa na waumini wa kanisa la Ngurumo ya upako na kugawanywa katika vituo mbalimbali vya watoto yatima huku fedha zikigawiwa kwa baadhi ya makanisa madogo kwa ajili ya kuwasaidia katika mambo mbalimbali.
Mchungaji Dkt. Geordavie akiombea bajeti mbalimbali za waumini walizoziletwa kwa ajili ya kutolewa neno la unabii hii leo. (Picha na Woinde Shizza)
Na Woinde Shizza, Arusha
Watumishi wa madhehebu mbalimbali ya dini hapa nchini wametakiwa kujijengea tabia ya kuwasaidia yatima ili nao waweze kujisikia kama wao ni sehemu ya jamii.
Hayo yamebainishwa leo na Mchungaji Dkt. Geordavie wakati akifanya dua maalumu ya kupitisha bajeti ya watu walioshiriki katika sikukuu ya kukusanya iliyofanyika katika hema la kukutania ngurumo ya upako kisongo jijini Arusha.
Alisema kuwa ni wajibu wa kila mtumishi
kukusanya na kutoa kile alicho na uwezo nacho
ili kuweza kuwasaidia watoto yatima, wananchi
wasiojiweza ili kuweza kuwafanya nao wajisikie ni sehemu ya jamii
Alisema kuwa mbali na watoto yatima pia
aliwasihi viongozi wa makanisa ambayo yanajiweza kuweza kusaidia yale ambayo ni machanga ili kuweza kuwapa nguvu ya kuweza kuendelea kueneza injili na kumtangaza Mungu kupitia makanisa yao.
Mchungaji Geordavie alisema kuwa kuwa lengo la
sikukuu hii ya kukusanya nikuwasaidia watoto yatima kwa kuwapa chakula kama mchele, sukari pamoja na mafuta ya kupikia ili nao wajisikie furaha haswa katika kipindi hiki cha sikukuu.
sikukuu hii ya kukusanya nikuwasaidia watoto yatima kwa kuwapa chakula kama mchele, sukari pamoja na mafuta ya kupikia ili nao wajisikie furaha haswa katika kipindi hiki cha sikukuu.
Alisema kuwa licha ya misaada hiyo kwenda kwa watoto yatima, pia atatoa fedha kwa watumishi wa Mungu wenye makanisa madogo hapa nchini lengo likiwa ni kuinua huduma zao na kuwasaidia katika kuendeleza huduma zao ikiwa ni pamoja na ujenzi wa kanisa, ununuzi wa vyombo vya muziki na shughuli nyingine za kanisa.
Sikukuu hii ya kukusanya na kuadhimishwa huduma ya Ngurumo ya upako duniani tarehe 26 ya kila mwaka, watu hutoa sadaka ya vitu mbalimbali ikiwemo fedha na kisha hugawanywa kwa vituo vya
watoto yatima huku fedha zikigawanywa kwa watumishi waliotuma maombi ya kupata msaada wa kuendeleza huduma zao.

COMMENTS