VIGUTA WAWAPATIA UZALENDO KWANZA VIWANJA, NYUMBA MKOANI PWANI
HomeJamii

VIGUTA WAWAPATIA UZALENDO KWANZA VIWANJA, NYUMBA MKOANI PWANI

Mwenyekiti wa Umoja wa Vicoba Tanzania (Viguta) Taifa, Dk. Dauda Salmin (kulia) akishikana mikono na Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza, Steve ...

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA JAJI MKUU WA TANZANIA, WAZUNGUMZIA UJENZI WA MAHAKAMA KUU DODOMA
FUNDISHO LA WIKI' DADA JASMINI! ALIVYO VUKA MAJARIBU YA KUSALITIWA NA MUME!
NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA MAMBO YA NJE KUTOKA BUNGE LA CHINA


Mwenyekiti wa Umoja wa Vicoba Tanzania (Viguta) Taifa, Dk. Dauda Salmin (kulia) akishikana mikono na Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza, Steve Nyerere mara baada ya kusaini mkataba wa ushirikiano ya kufanyakazi pamoja ambapo UZALENDO KWANZA NA VIGUTA watakuwa bega kwa bega kutoa elimu ya ujasiliamali Tanzania nzima katika hafla iliyofanyika jana Kijiji Cha Kwala - Chalinze.



Mwenyekiti wa Umoja wa Vicoba Tanzania (Viguta) Taifa, Dk. Dauda Salmin (kulia) wakisainisha mkataba wa ushirikiano na Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza, Steve Nyerere ili kuendelea kutoa elimu ya ujasiliamali Tanzania nzima katika hafla iliyofanyika jana Kijiji Cha Kwala - Chalinze.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vicoba Tanzania (Viguta) Taifa, Dk. Dauda Salmin (kulia) akipongezana na Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza, Steve Nyerere mara baada ya kumaliza kusaini makubaliano.
Salamu za pongezi zikiendelea kutolewa mara baada ya kumaliza zoezi la kusaini mkataba.


Mbunge wa viti maalum wa Pwani, Hawa Mchafu Chakoma (CCM) ambaye alikuwa mgeni rasmi akitoa neno kwa wasanii na wananchi walihudhuria hafla hiyo.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vicoba Tanzania (Viguta) Taifa, Dk. Dauda Salmin akiwatambulisha wanachama
Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza, Steve Nyerere akitoa neno la shukrani mara baada ya kusaini mkataba wa ushirikino wa kufanya kazi pamoja. Pia aliwashukuru kwa kuweza kuwapatia viwanja kwa ajili ya kujenga nyumba zao za kuishi. Hafla hiyo ilifanyika jana Kijiji Cha Kwala - Chalinze.
Mbunge wa viti maalum wa Pwani, Hawa Mchafu Chakoma (CCM)
Wananchama wa Viguta na Uzalendo Kwanza wafuatilia halfa hiyi.
Wanachama wa Uzalendo Kwanza na Viguta wakielekea eneo la viwanja walivyopewa.
Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza, Steve Nyerere akikabidhiwa nyumba na Mbunge wa viti maalum wa Pwani, Hawa Mchafu Chakoma (CCM) ambaye alikuwa mgeni rasmi katika halfa ya ushirikiano na Viguta.

Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza akionyesha mkataba wa nyumba aliyopewa na Viguta.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vicoba Tanzania (Viguta) Taifa, Dk. Dauda Salmin akikabidhiwa nyumba na Mbunge wa viti maalum wa Pwani, Hawa Mchafu Chakoma (CCM) ambaye alikuwa mgeni rasmi katika halfa ya ushirikiano na Viguta.
Moja ya nyumba aliyopewa mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza, Steve Nyerere na Viguta.
Burudani ikitolewa.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: VIGUTA WAWAPATIA UZALENDO KWANZA VIWANJA, NYUMBA MKOANI PWANI
VIGUTA WAWAPATIA UZALENDO KWANZA VIWANJA, NYUMBA MKOANI PWANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4p9rHwsxx3wq-Mi4wHPtI72QWvoOAp-NqEVVIIYheOK84a3eP-q58ayhhGzmAIPra5Nde-QA287T-a0hFhi3dELBbC6lMeW04OQkkNPQtabmuMIK4B6QJKjpocLw9tCWCRhKTiBYdotU/s640/IMG_1477.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4p9rHwsxx3wq-Mi4wHPtI72QWvoOAp-NqEVVIIYheOK84a3eP-q58ayhhGzmAIPra5Nde-QA287T-a0hFhi3dELBbC6lMeW04OQkkNPQtabmuMIK4B6QJKjpocLw9tCWCRhKTiBYdotU/s72-c/IMG_1477.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/viguta-wawapatia-uzalendo-kwanza.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/viguta-wawapatia-uzalendo-kwanza.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy