Mkuu wa chuo cha Ustawi wa Jamii Dkt. Abu Mvungi(wa pili toka kulia) akizindua Jarida la kitaaluma liloandaliwa na idara ya taaluma ya chu...
Mkuu wa chuo cha Ustawi wa Jamii Dkt. Abu Mvungi(wa
pili toka kulia) akizindua Jarida la kitaaluma liloandaliwa na idara ya
taaluma ya chuo cha Ustawi wa jamii,wa tatu kulia ni Makamu Mkuu wa chuo utawala Dkt.Zena Mabeyo akifuatiwa na mtoa Mada mkuu kwenye kongamano hilo Bw. Kabeho Solo.
Toka kushoto Mkuu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii Dkt.Abu Mvungi,Mtoa mada mkuu Mr. Kabeho solo na Makamu Mkuu wa chuo Utawala Dkt.Zena Mabeyo wakimkabidhi cheti Agneta Ishengoma mwanafunzi aliyefanya vizuri zaidi kwenye masomo kati ya wahitimu wa mwaka huu 2017 kwenye
kongamano la kitaaluma chuoni hapo.
Mtoa mada Mkuu Bw Kabeho solo akiongoza mjadala kwenye kongamano hilo lililo hudhuriwa na wahadhiri na alumni wa chuo cha Ustawi
wa Jamii.
COMMENTS