Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Morocco katik...
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Morocco katika Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Abdelilah Benryane wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
akizungumza na mgeni wake Balozi wa Morocco katika Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Abdelilah Benryane wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
leo. (Picha na Ikulu)
COMMENTS