“SEKTA YA VIWANDA INAHITAJI WAHANDISI WENGI”
HomeBiashara

“SEKTA YA VIWANDA INAHITAJI WAHANDISI WENGI”

Mwenyekiti wa ALAT Taifa ambaye pia ni Mshtahiki Meya wa Shinyanga, Gulam Hafeez Mukadam wa pili kulia akipokea mifuko ya saruji 50...

ECOBANK GROUP WASHIRIKIANA NA MTN KUWEZESHA HUDUMA ZAIDI ZA FEDHA BARANI AFRIKA
TANZANIA YAVUNJA REKODI TUZO ZA KIMATAIFA ZA DSTV EUTELSAT STAR!
TIGO PESA YAPATA UTHIBITISHO WA HUDUMA ZA KIFEDHA KUTOKA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA GSMA



Mwenyekiti wa ALAT Taifa
ambaye pia ni Mshtahiki Meya wa Shinyanga,
Gulam Hafeez Mukadam wa pili kulia akipokea mifuko ya saruji 500
kutoka kwa Meneja Mkuu wa
Kiwanda cha
Saruji ya Simba Cement Benedict Lema katikati ni
Katibu
Tawala Msaidizi Rasilimali watu na Utawala Mkoa wa Tanga, Radhiya Msuya
ambaye alimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tanga kulia ni Meneja Uhusiano na
Mawasiliano ya Nje wa Simba Cement, Noor Mtanga








Meneja Mkuu wa
Kiwanda cha Saruji ya Simba Cement Benedict
Lema wa pili kushoto akimkabidhi mifuko ya saruji 500
Mwenyekiti wa ALAT Taifa ambaye pia ni
Mshtahiki Meya wa Shinyanga,
Gulam Hafeez Mukadam wa pili kutoka kulia kwa ajili ya ujenzi
miundombinu katika sekta ya elimu katikati ni
Katibu
Tawala Msaidizi Rasilimali watu na Utawala Mkoa wa Tanga, Radhiya Msuya
ambaye alimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tanga kulia ni
Meneja Uhusiano na Mawasiliano ya Nje wa
Simba Cement, Noor Mtanga





 Sehemu ya Saruji iliyokabidhiwa
leo




Meneja Uhusiano na Mawasiliano ya
Nje wa Simba Cement, Noor Mtanga kulia akifafanua jambo kabla
makabidhiano hayo leo kushoto ni
Mwenyekiti wa
ALAT Taifa ambaye pia ni Mshtahiki Meya wa Shinyanga,
Gulam Hafeez Mukadam  
Katibu
Tawala Msaidizi Rasilimali watu na Utawala Mkoa wa Tanga, Radhiya Msuya
na Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Simba Cement,Benedict Lema wakimsikiliza
meneja huyo wa Uhusiano na Mawasiliano ya Nje












Mwenyekiti wa ALAT Taifa
ambaye pia ni Mshtahiki Meya wa Shinyanga,
Gulam Hafeez Mukadam katikati akizungumza na vyombo vya habari mara
baada ya kukabidhiwa Saruji hiyo leo




Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga ambaye
niKatibu Tawala Msaidizi Rasilimali watu na Utawala Mkoa wa Tanga, Radhiya Msuya akizungumza na waandishi wa habari kuishukuru kampuni ya Simba
Cement mara baada ya kushuhudia makabidhiano hayo kulia ni
Meneja Uhusiano na Mawasiliano ya Nje wa Simba
Cement, Noor Mtanga kushoto ni 


Mwenyekiti wa ALAT Taifa ambaye
pia ni Mshtahiki Meya wa Shinyanga,
Gulam Hafeez Mukadam,Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Simba Cement Benedict
Lema anayefuatia kushoto ni Afisa Mawasiliano wa Simba Cement, Helleni
Maleko



NA MWANDISHI WETU,
TANGA.




IMEELEZWA kuwa sekta ya viwanda inahitaji wahandisi ambao watashiriki katika shughuli mbalimbali baada ya wale waliopo hivi sasa kustaafu kwa kuwekewa mazingira mazuri wanaochipukia katika uimarishaji wa miundombinu shuleni.





Hayo yalisemwa leo na Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Tanga (Tanga Cement), Benedict
Lema wakati akikabidhi mifuko 500 ya Saruji kwa Mstahiki Meya wa Halmashauri ya
Shinyanga  
Gulam Hafeez Mukadam kwa ajili ya shule zao
katika kuboresha maendeleo na ujenzi wa vyoo
vya wanafunzi na maeneo mengine ya elimu na afya.


Mifuko hiyo ina zaidi ya thamani ya milioni 6 iliyotolewa  Halmashauri ya Shinyanga kwa ajili ya kuweza kukabiliana na uhaba wa miundombinnu ya shule
ikiwemo vyoo.


Lema alisema ili kuweza kusaidia harakati za kuelekea Tanzania ya Viwanda ndio sababu kubwa wamekuwa wakitoa misaada mbalimbali kuwezesha kupunguza baadhi ya
changamoto zilizopo ili kuhakikisha zinakwisha.


Aidha alisema wanafunzi wanapaswa kuongeza bidii ili kuweza kufanikiwa katika masomo yao jambo ambalo litawezesha kupatikana kwa wahandisi wengi ambao watasaidia
sekta ya viwanda.


Awali akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga ambaye ni
Katibu Tawala Msaidizi Rasilimali watu na Utawala Mkoa wa Tanga, Radhiya Msuya aliishukuru kampuni ya Tanga Cement kwa mchango wao mkubwa wanaoutoa katika
kusaidia sekta ya elimu ya vijana wetu ambao watakuwa wataalamu kwenye maeneo
mbalimbali.


Alisema mchango wao huyo ni mkubwa kwa sababu unasaidia katika harakati za kuelekea Tanzania ya Viwanda kwa kuona mbali kwa kuwekeza kwenye sekta ya elimu ambayo
ndio nguzo muhimu kufikia malengo hayo.


Naye kwa upande wake, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT) Taifa ambaye pia ni Mshtahiki Meya wa Shinyanga, Gulam Hafeez Mukadam aliishukuru kampuni hiyo kwa kuthamini harakati za
kuinua elimu hapa nchini kwa kusaidia mifuko hiyo ya saruji ambayo itakuwa ni chachu
kubwa kufikia malengo yao kielimu.


Alisema anawashukuru sana kwa kuunga mkono agizo la Rais kuelekeza nguvu kwenye sekta ya elimu katika kutatua changamoto za madawati na vyoo ili kusaidia harakati za
elimu ambazo zinafaida.


Hata hivyo alisema wataendelea kuwahimiza vijana kuhakikisha wanasoma kwa bidii ili kuweza kupatikana wahandisi wengi ambao watakuwa ni chachu kubwa baada ya
waliopo kustaafu
.
(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: “SEKTA YA VIWANDA INAHITAJI WAHANDISI WENGI”
“SEKTA YA VIWANDA INAHITAJI WAHANDISI WENGI”
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjaKj70um6iU3TnaL6-I55wMSf6Nuxzx-oWqKifRrVIYU8m39-WIsW6v_DIEuBqsMg-R_bmGu28kM5FSWsU6trQoEcsdw8jcbnDMATwe7DOBFplm7TYf8sgB8E_y4vlgvMiiGxh8Fp7tUmI/s640/IMG_0382.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjaKj70um6iU3TnaL6-I55wMSf6Nuxzx-oWqKifRrVIYU8m39-WIsW6v_DIEuBqsMg-R_bmGu28kM5FSWsU6trQoEcsdw8jcbnDMATwe7DOBFplm7TYf8sgB8E_y4vlgvMiiGxh8Fp7tUmI/s72-c/IMG_0382.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/sekta-ya-viwanda-inahitaji-wahandisi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/sekta-ya-viwanda-inahitaji-wahandisi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy