JIJI LA MBEYA LAJIPANGA KUKUSANYA KODI KATIKA MRADI WA SOKO JIPYA LA MWANJELWA
Kaimu Mkurugenzi jiji la Mbeya Dkt. Samuel Lazaro

JIJI LA MBEYA LAJIPANGA KUKUSANYA KODI KATIKA MRADI WA SOKO JIPYA LA MWANJELWA

Kaimu Mkurugenzi jiji la Mbeya Dkt . Samuel L aza r o Na EmanuelMadafa,Mbeya HALMASHAURI ya Jiji la Mbeya, imesema ime...

GOVERNMENT LAUNCHES 'NIPO TAYARI' CAMPAIGN
TANESCO YAWAOMBA WANANCHI KUTOA TAARIFA MAPEMA WAONAPO HITILAFU YA UMEME ILIYOSABABISHWA NA MVUA AUKITU KINGINE
SERIKALI KUCHIMBA MABWAWA YA MAJI ILI KUPUNGUZA UHABA WA MAJI NCHINI












Na EmanuelMadafa,Mbeya
HALMASHAURI ya Jiji la Mbeya, imesema imejipanga vyema katika  kuhakikisha
mradi mkubwa wa soko jipya la mwanjelwa unasimamiwa kikamilifu kwa
kufuata  taratibu za serikali sanjari na mikataba  iliyoingia na benki ya
CRDB  kwa kipindi cha miaka 15.

Mradi  huo wa soko la kimataifa la Mwanjelwa lililopo jijini Mbeya  ujenzi wake imefikia  asilimia 99 hivyo upo katika hatua za mwisho za kukamilika kwake.

Akizungumza  ofisini kwake, Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, Dkt. Samweli Lazaro, amesema licha ya soko hilo kukamilika lakini mchakato wake wa uendeshaji utazingatia taratibu za halmashauri na mkataba walioingia na benki ya CRDB.

Amesema  hatua  hiyo, inatokana na halmashauri ya Jiji hilo kukopa kiasi cha shilingi Bilioni 13 kutoka benki ya CRDB na kufanikisha ujenzi wa soko hilo ambao umedumu kwa zaidi ya miaka 10 tangu lilipoteketea kwa moto.


Amesema, benki hiyo kwa kukubaliana na halmashauri imepanga kiasi cha kodi
kitakachopaswa kulipwa na wafanyabiashara  kuanzia shilingi elfu moja kwa
siku hadi shilingi 500,000 kwa mwezi.

Amesema Wafanyabiashara ambao watatumia meza watatakiwa kulipa ushuru wa shilingi 1000 kwa siku huku wale wa maduka watalipa kiasi cha shilingi 500,000 kwa mwezi na wauza nyama watapaswa kulipa kiasi cha shilingi 400,000 kwa mwezi,”alisema.

Amesema, awali halmashauri hiyo ilipokea maombi kutoka kwa wafanyabiashara ambao walikuwa wakiomba kupunguzwa kwa gharama za tozo hizo kwani ziko juu
ukilinganisha na hali ya uhumi wa sasa.

Amesema, halmashauri iliyachukua maombi hayo na kuyawasilisha kwenye mamlaka husika ya benki ya CRDB hivyo wanasubili majibu na kuwataka wafanyabiasha kuwa wapole wakati wanasubili majibu hayo kutoka kwenye uongozi wa benki hiyo.

Soko la Mwanjelwa liliteketea kwa moto mwaka 2006 na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha kutoka kwa wafanyabiashara zaidi ya 2000 walionguliwa maduka yao na ujenzi wake kuanza mwaka 2008..



Muonekano wa Mradi wa Soko la Mwanjelwa jijini Mbeya ambapo ujenzi wake bado unaendelea. (JAMIIMOJABLOG MBEYA)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: JIJI LA MBEYA LAJIPANGA KUKUSANYA KODI KATIKA MRADI WA SOKO JIPYA LA MWANJELWA
JIJI LA MBEYA LAJIPANGA KUKUSANYA KODI KATIKA MRADI WA SOKO JIPYA LA MWANJELWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbq37Iz18QHONmTcKmebm0rPDciPFASYstpQZkJ4gqxJPoMMIr0sRBWFCAAW8fxZ0mTtn8HTXT1oK1nhRtJlnZvdyjPCQ7-oVnhPjCOjGqLjDwp1Gs-L-9FAJ7EvirFgEv20YrlKxruE2t/s640/RAZALO.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbq37Iz18QHONmTcKmebm0rPDciPFASYstpQZkJ4gqxJPoMMIr0sRBWFCAAW8fxZ0mTtn8HTXT1oK1nhRtJlnZvdyjPCQ7-oVnhPjCOjGqLjDwp1Gs-L-9FAJ7EvirFgEv20YrlKxruE2t/s72-c/RAZALO.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/11/jiji-la-mbeya-lajipanga-kukusanya-kodi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/jiji-la-mbeya-lajipanga-kukusanya-kodi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy