RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MNADHIMU MKUU WA JWTZ, BALOZI WA TANZANIA KUWAIT NA KATIBU TAWALA WA KATAVI NA MWANZA LEO IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Luteni Jenerali Venance Salvatory Mabeyo ku...









Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Luteni Jenerali Venance Salvatory
Mabeyo kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Ikulu jijini Dar es Salaam leo Januari 30, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Dkt. Mahadhi Juma Maalim kuwa Balozi wa Tanzania Ikulu jijini Dar es Salaam leo January 30, 2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akimkabidhi nyezo za kazi Kamishna wa Polisi Clodwig Mathew Mtweve 
baada ya kumuapisha  kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ikulu jijini Dar es Salaam leo January 30, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimkabidhi nyezo za kazi Kamishna wa Polisi Paul Amani Moses Chagonja baada ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es Salaam leo January 30, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Mstaafu Luteni Jenerali (Rtd) Samuel Albert Ndomba baada ya shughuli ya kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam leo January 30, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikiwa katika picha ya pamoja na viongozi aliowaapisha pamoja na waliohudhuria hafla hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam leo Januari 30, 2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Kamishna wa Polisi Paul Amani Moses Chagonja baada ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es Salaam leo Januari 30, 2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Luteni Jenerali Venance Salvatory Mabeyo baada ya kumwapisha kuwa kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Ikulu jijini Dar es Salaam leo Januari 30, 2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akisalimiana na Kamishna wa Polisi Clodwig Mathew Mtweve baada ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ikulu jijini Dar es Salaam leo January 30, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akiwa na Dkt. Mahadhi Juma Maalim baada ya kumuapisha kuwa kuwa Balozi wa Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Januari 30, 2016



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa jeshi waliopo na waliopangiwa kazi zingene. Kushoto ni Kamishna wa Polisi Clodwig Mathew Mtweve aliyemwapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza na Kamishna wa Polisi Paul Amani Moses Chagonja, Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimianan an mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange baada ya kupiga picha ya pamoja na viongozi wa jeshi Ikulu jijini Dar es Salaam leo January 30, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Inspekta Mkuu wa Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu baada ya shughuli ya kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam leo January 30, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Mstaafu Luteni Jenerali (Rtd) Samuel Albert Ndomba (kulia) na Luteni Jenerali Venance Salvatory
Mabeyo Mnadhimu Mkuu wa JWTZ
baada ya shughuli ya kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam leo January 30, 2016

Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Mstaafu Luteni Jenerali (Rtd) Samuel Albert Ndomba (kulia) na Luteni Jenerali Venance Salvatory
Mabeyo Mnadhimu Mkuu wa JWTZ katika picha ya pamoja.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na viongozi wa majeshi katika hafla ya kuwaapisha aadhi yao ikulu jijini Dar es Salaam leo Januari 30, 2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na viongozi wakati wa hafla hiyo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Kamishna wa Polisi Paul Amani Moses Chagonja baada ya kumwapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es Salaam leo Januari 30, 2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano wa JWTZ, Kanali Ngemela Lubinga Ikulu jijini Dar es Salaam leo Januari 30, 2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akisalimiana na Naibu Inspekta wa Polisi Abdulrahman Kaniki Ikulu jijini Dar es Salaam leo Januari 30, 2016. (Picha na Ikulu)










COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MNADHIMU MKUU WA JWTZ, BALOZI WA TANZANIA KUWAIT NA KATIBU TAWALA WA KATAVI NA MWANZA LEO IKULU DAR ES SALAAM
RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MNADHIMU MKUU WA JWTZ, BALOZI WA TANZANIA KUWAIT NA KATIBU TAWALA WA KATAVI NA MWANZA LEO IKULU DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjfFJLJ_qqZzHhRA2mMpvJHiJ73GqbQh5vaZXcu7mylU0xhyphenhyphenkiscidl1gWnf6lrL9lP0BOo24L0i1el2D17yjUc4jTDdNsLCajgBuyydUGK0hvTECHydbJgANw7-Rg5tt-k-WcfG2iAutsf/s640/j3.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjfFJLJ_qqZzHhRA2mMpvJHiJ73GqbQh5vaZXcu7mylU0xhyphenhyphenkiscidl1gWnf6lrL9lP0BOo24L0i1el2D17yjUc4jTDdNsLCajgBuyydUGK0hvTECHydbJgANw7-Rg5tt-k-WcfG2iAutsf/s72-c/j3.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/01/rais-magufuli-awaapisha-mnadhimu-mkuu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/01/rais-magufuli-awaapisha-mnadhimu-mkuu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy