NAFASI ART SPACE AND MUDA AFRICA LAUNCH NEW STRATEGIC PLANS WITH SUPPORT FROM THE ROYAL NORWEGIAN EMBASSY
HomeJamii

NAFASI ART SPACE AND MUDA AFRICA LAUNCH NEW STRATEGIC PLANS WITH SUPPORT FROM THE ROYAL NORWEGIAN EMBASSY

RNE CONTRACT SIGNING CEREMONY SWA by Robert Okanda on Scribd NAFASI DIRECTOR'S SPEECH by Robert Okanda on Scribd AMB...

WAZIRI WA KILIMO AZINDUA MWONGOZO WA KILIMO KINACHOHIMILI TABIA NCHI
AIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU VYA SAYANASI KWA SHULE YA SEKONDARI VIANZI
JAJI KIONGOZI MHE. FERDINAND WAMBALI AKAGUA SHUGHULI ZA MAHAKAMA KANDA YA SONGEA






















Sehemu ya wageni na wadau mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo.


Sehemu ya wageni na wadau mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo.


BALOZI wa Norway Nchini Tanzania, Hanne Marie Kaastard (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Muda Africa, Rachel Kessi wakitiliana sahihi makubaliano ya msaada wa dola za Kimarekani 130,000  kwa kipindi cha mwaka mmoja kwa ajili ya kusapoti shughuli za mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mungereza, Afisa Utamaduni wa Ubalozi wa Norway, Anette Pettersen (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Nafasi Art Space, Rebecca Corey. 


BALOZI wa Norway Nchini Tanzania, Hanne-Marie Kaastard (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa NAFASI Art Space, Rebecca Corey wakitiliana sahihi makubaliano ya msaada wa dola za Kimarekani 115,000  kwa kipindi cha mwaka mmoja kwa ajili ya kusapoti shughuli za mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mungereza, Afisa Utamaduni wa Ubalozi wa Norway, Anette Pettersen (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Muda Africa, Rachel Kessi. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs)


BALOZI wa Norway Nchini Tanzania, Hanne-Marie Kaastard (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa NAFASI Art Space, Rebecca Corey wakibadilisha mkataba wa makubaliano ya msaada wa dola za Kimarekani 115,000  kwa kipindi cha mwaka mmoja kwa ajili ya kusapoti shughuli za mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo baada ya kutiliana sahihi.


Sehemu ya wageni na wadau mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo.


Mkurugenzi Mtendaji wa NAFASI Art Space, Rebecca Corey akiongea machache kuwashuru na kuwakaribisha wageni katika hafla ya kusaini mkataba wa makubaliano ya msaada wa dola za Kimarekani 380, 000  kwa kipindi cha mwaka mmoja kwa ajili ya kusapoti shughuli za mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo na taasisi ya Muda Africa. Fedha hizo zimetolewa na Ubalozi wa Norway. Kulia ni Balozi wa Norway nchini Tanzania, Hanne-Marie Kaastard na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mungereza.


Balozi wa Norway nchini Tanzania, Hanne-Marie Kaastard na wenyeji wake wakiwa katika picha ya pamoja na wadau pia washiriki wa hafla hiyo.

Sehemu ya wageni na wadau mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo.









Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAFASI ART SPACE AND MUDA AFRICA LAUNCH NEW STRATEGIC PLANS WITH SUPPORT FROM THE ROYAL NORWEGIAN EMBASSY
NAFASI ART SPACE AND MUDA AFRICA LAUNCH NEW STRATEGIC PLANS WITH SUPPORT FROM THE ROYAL NORWEGIAN EMBASSY
https://i.ytimg.com/vi/D90xTpXHrNg/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/D90xTpXHrNg/default.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/nafasi-art-space-and-muda-africa-launch.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/nafasi-art-space-and-muda-africa-launch.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy