WANAFUNZI WA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa akiwa amemkabidhi cheti cha shukrani mmoja wa wanafunzi wa chuo hicho al...

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa akiwa amemkabidhi cheti cha shukrani mmoja wa wanafunzi wa chuo hicho aliyefanya vizuri kwenye masomo yake, wakati wa hafla ya kuwakabidhi zawadi wahitimu waliofanya vizuri iliyofanyika chuoni hapo jijini Dar es Salaam Novemba 30 2017. Kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Taaluma, Profesa Gabriel Kassenga na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Mipango, Fedha na Utawala, Profesa Robert Kiunsi. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs)

Sehemu ya wanafunzi wa chuo Ardhi University wakifuatilia matukio katika hafla ya kukabidhiwa vyeti na zawadi mbalimbali baada ya kufanya vizuri katika masomo kwa mwaka 2017 hafla iliyofanyika chuoni hapo jijini Dar es Salaam Novemba 30 2017.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WANAFUNZI WA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
WANAFUNZI WA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgykJzx4XteMZT7nV2-dbbAc5oHJ9rARgrTGOQP4NYEoScJoXwFHSJdKldfW8KfWnxKCt5TBBPL7e1xWAZZ0jejikW5Hpj3je3dtUgq_HcpOSoHZXVcmlUPxNZmFgFTxYfSdGg_ccl2bvU/s640/WASHINDI.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgykJzx4XteMZT7nV2-dbbAc5oHJ9rARgrTGOQP4NYEoScJoXwFHSJdKldfW8KfWnxKCt5TBBPL7e1xWAZZ0jejikW5Hpj3je3dtUgq_HcpOSoHZXVcmlUPxNZmFgFTxYfSdGg_ccl2bvU/s72-c/WASHINDI.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/wanafunzi-wa-chuo-kikuu-ardhi-aru.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/wanafunzi-wa-chuo-kikuu-ardhi-aru.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy