KAMPUNI YA MATANGAZO YA KWANZA YATANGAZE NEEMA KWA WATANZAGAZI NA WACHAPISHAJI
Afisa Mtendaji mkuu wa Kwanza Edwin Bruno (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wageni waaalikwa katika hafla ya uzinduzi wa Kwanza Advertising Network mapema leo katika Hoteli ya Hyatt Regency.
HomeJamii

KAMPUNI YA MATANGAZO YA KWANZA YATANGAZE NEEMA KWA WATANZAGAZI NA WACHAPISHAJI

Afisa Mtendaji mkuu wa Kwanza Edwin Bruno (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wageni waaalikwa katika hafla ya uzinduzi wa...

MAONESHO YA SABASABA 2017;FINCA MICROFINANCE BANK WANG'ARA KATIKA KUTUMIA TEKNOLOJIA KUHUDUMIA WATEJA
WAKAZI WA JIJI LA DAR WAFURIKA KATIKA BANDA LA UBER NA KUJIUNGA NA HUDUMA
MWIGULU MGENI RASMI MKUTANO WA KIMATAIFA WA SHUKRANI WA KULIOMBEA TAIFA KATIKA UWANJA WA UHURU DAR ES SALAAM



 Meneja Bidhaa  wa Kwanza Advertising Network, Leon John akieleza namna ya jukwaa hilo litakavyofanya kazi ambapo mtandao huo utaunganisha kampuni za uzalishaji, wachapishaji mtandaoni na wateja.


Baadhi ya wachapishaji (Blogers) wakifuailia kwa makini uzinduzi huo katika hafla iliyofanyika mapema leo katika Hoteli ya Hyatt 

Meneja wa Masoko ya Digitali kutoka kampuni TECNO ambayo ni miongoni mwa kampuni zilizomo kwenye jukwaa hilo, Kelvin Boniface (kushoto) akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali wakati wa mkutano huo.
Mkurugenzi mtendaji wa KONCEPT na katibu wa Tanzania Blogers Network  Bw. Krantz Mwantepele (kulia) akichangia jambo kuhusu uelewa wake juu ya watumiaji wa mitandao ya kijamii hasa upande wa Blog. Meneja bidhaa kutoka Kwanza Advertising Network, Leon John (katikati)





Meneja Mawasiliano wa  Kwanza Advertising Network, Herman Mkamba akieleza vigezo vitakavyotumika kuchagua mitandao na Blog zitakazo jiunga kwenye jukwaa hili.







 Meneja Bidhaa  wa Kwanza Advertising Network, Leon John akifanya mahojiano na waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi wa Kwanza Advertising Network.


Dar es Salaam Septemba 18, 2017: Kampuni ya matangazo ya Kwanza Advertising Network, leo imezindua huduma mpya, itakayowezesha biashara mbali mbali na watangazaji kuwafikia mamilioni ya wateja kupitia simu za mkononi, tovuti na mtandao wa intaneti
Akiongea wakati wa hafla fupi ya uzinduzi iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Hotel jijini Dar Es Salaam, Afisa mtendaji mkuu wa Kwanza Advertising Network Edwin Bruno alisema, huduma hiyo itakuwa na uwazi wa hali ya juu kwa kuwa itamwezesha mtangazaji kuona namna ambavyo tangazo la biashara yake linavyosoma na hivyo kujua ni watu wangapi wameliona na kulisoma
“Kwanza imewezesha blogers wa Tanzania wakati pia ikitumia tovuti zenye kutembelewa na watu wengi kuongeza thamani kwa watangazaji kulingana na wateja wao,” alisema Bruno na kuongeza kuwa Kwanza ni mtandao wa kipekee unao mhakikishia mtangazaji faida kwa kila tangazo analoliweka kwenye mtandao huo.
Bruno alifafanua kuwa, lengo la Kwanza ni kuhakikisha kuwa wateja wake (watangazaji) wanatumia kikamilifu fursa zilizopo katika ulimwengu wa kidijitali kutangaza biashara zao kupitia njia za kisasa za utangazaji ambazo ni pamoja na matumizi ya mtandao.
Zaidi alifafanua kuwa, Kwanza inatumia nyenzo za kisasa ambazo humpa taarifa mteja juu ya watu walioliona au kulisoma tangazo lake na pia kumwonyesha tovuti ambazo tangazo lake limesomwa kwa wingi zaidi.
Alieleza kuwa, Kwanza imegundua namna ambavyo inaweza kuwasaidia watangazaji na wachapishaji kutengeneza fedha kwa njia ya mtandao.


Kwanza inatoa nafasi kufikia wateja wengi kwa watangazaji na pia kipato kikubwa kwa wachapishaji .Watangazaji kila mara hutafuta namna ya kuwafikia wateja wao kwa kiwango kikubwa na hii ni nafasi kubwa kwa wachapishaji wa Tanzania kutumia fursa hii kwa makini kutengeneza kipato zaidi.


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMPUNI YA MATANGAZO YA KWANZA YATANGAZE NEEMA KWA WATANZAGAZI NA WACHAPISHAJI
KAMPUNI YA MATANGAZO YA KWANZA YATANGAZE NEEMA KWA WATANZAGAZI NA WACHAPISHAJI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgqjeDExZkeSUUfSdMC-JPJkEYLes5MwAoVQyZn7JiE98k_DErG8HJ_NS2-jc15gDk64HeSscco3yT1SpGeJiKnVJT0kDaochwku4sQdQG4NQAHdOVYiK2p2H-ncDnRaK9-sVWfu5s8uTY/s640/_TCM5930.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgqjeDExZkeSUUfSdMC-JPJkEYLes5MwAoVQyZn7JiE98k_DErG8HJ_NS2-jc15gDk64HeSscco3yT1SpGeJiKnVJT0kDaochwku4sQdQG4NQAHdOVYiK2p2H-ncDnRaK9-sVWfu5s8uTY/s72-c/_TCM5930.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/kampuni-ya-matangazo-ya-kwanza.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/kampuni-ya-matangazo-ya-kwanza.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy