Makamu Rais wa Kampuni ya GroovJoint David Newman akiwafafanulia jambo waandishi wa habari wakati wa kutambulishwa kwa b...
Makamu Rais wa Kampuni hiyo, David Newman (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurgenzi wa TPSF, Godfrey Simbeye (kushoto) Mwakilishi wa mauzo wa Kampuni ya GroovJoint David Mwamsojo na Mwakilishi wa masoko wa kampuni hiyo, Diana Chandarua. Kampuni hiyo ilitambulisha bidhaa zake Dar es Salaam Septemba 8 2017. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogspot)
COMMENTS