CHAMA CHA MADAKTARI WA AFYA YA KINYWA NA MENO KUFANYIA MATIBABU WATOTO 53
HomeJamii

CHAMA CHA MADAKTARI WA AFYA YA KINYWA NA MENO KUFANYIA MATIBABU WATOTO 53

 Daktariwa Kinywa na Meno Hospitali ya Sinza Dar es Salaam, Idd Khery akimfanyia matibabu ya Kinywa na Meno mwanafunzi wa Darasa la 3   ...

RAIS MAGUFULI KUZINDUA PROGRAMU YA KUENDELEZA SEKTA YA KILIMO AWAMU YA PILI (ASDP II)
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AIAGIZA TAMISEMI KUTENGA MAENEO MAALUMU YA WAMACHINGA
NIDA YAZINDUA UGAWAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA MKOA WA KILIMANJARO

 Daktariwa Kinywa na Meno Hospitali ya Sinza Dar es Salaam, Idd Khery akimfanyia matibabu ya Kinywa na Meno mwanafunzi wa Darasa la 3   Shule ya Msingi Jumuishi Buhangija, Rajabu Yahaya katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga leo kuelekea Wiki ya Kinywa na Meno ambapo watoto 53 jana na leo wamepatiwa huduma hiyo bila malipo, (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) 

Daktari wa Meno Mkoa wa Shinyanga, Dkt. Nuru Mpuya (wa pili kulia) akifunga Wiki ya Kinywa na Meno Mkoani humo katika Shule ya Msingi ya Wanafunzi Jumuishi ya Buhangija Mkoani Shinyanga leo, kuanzia kushoto ni Dkt. Anold Gemoniani kutoka Hospitali ya Wilaya ya Kishapu, Mwalimu wa Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), Profesa Bakari Lembariti ,Daktari Bingwa wa Meno Hospitali ya Taifa Muhimbili, Habiba Madjapa na Rais wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA), Dkt. Lorna Carneiro



  Rais wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA), Dkt. Lorna Carneiro (wa pili kushoto) akimtambulisha Dkt, Arnold Mtenga wakwanza kushoto  kwa Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga, Mwanamsiu Dossi (kulia)  mara alipoongozana na ujumbe wake kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza matibabu katika Kituo cha watoto Buhangija, wa tatu kushoto ni Daktari wa Meno Mkoa wa Shinyanga, Dkt. Nuru Mpuya
 Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga, Mwanamsiu Dossi (kushoto) ambapo kaimu Mkurugenzi huyo alisema, napenda kuwashukuru katika kuja kusaidia kutowa huduma hiyo kwa miaka 3 mfululizo na  akasema, nawaomba kujipanga tena kurudi ili kutowa elimu kwa wakubua na ninaona kwa sasa kunamaboresho makubwa yamefanyikakwa watoto wetu na lengo hasa ni kusiwe na matatizo ya meno kwa watoto hao nawaomba mjekila mwaka natutazidi kuwapa ushirikiano kwani watoto hao niwakwetu sote, kama mnavyojuwa Serikali inawadau tutashirikia nao na kama kunapahala tulikosea mtusamehe na mwisho niisiwachoshe sana niwatakie safari njema ya kuelekea Dodoma.



 Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga, Mwanamsiu Dossi katika picha ya pamoja na madaktari



Rais wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA), Dkt. Lorna Carneiro akizungumza na walimu wa Shule ya Jumuishi Buhangija  (pichani hawapo) aliwashukuru kwa mapokezi yao na kutowa wito kwa walimu kuzidi kuwa karibu na watoto hao kwani niwatoto wetu na pamoja na mafanikio makubwa ya elimu ya upigaji mswaki kwa watoto hao niwakati wa kuzidi kuwanao karibu, alisema,  Carneiro , tunaondoka Buhangija tukiwa tumeona mabadiliko makubwa ya mwaka wa kwanza , wapili na watatu tukiwa na furaha ya watoto kutambua umuhimu wa kutunza kinywa na meno yao, mwisho nawatakia kila la heri katika kusaidiana kuwalea watoto hao kwa kushirikiana kwa pamoja

Daktari wa Meno Mkoa wa Shinyanga, Dkt. Nuru Mpuya akizungumza na mwanafunzi wa Shule ya Awali ya Buhangija Mkoani Shnyanga, Mck Machia kushoto na kulia ni mwanafunzi wa shule hiyo, Pasi Mugisi.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: CHAMA CHA MADAKTARI WA AFYA YA KINYWA NA MENO KUFANYIA MATIBABU WATOTO 53
CHAMA CHA MADAKTARI WA AFYA YA KINYWA NA MENO KUFANYIA MATIBABU WATOTO 53
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXjZ6I0VvjV87B-FTt0dhSg8ezJmoGVJQTLfAOZZOQX96s7N3_iEWutL3axkCNc3VRJ92TPJKzdBqbTSH4AIDdk9Z6VA9kop-3QCKMagm2BhVCNd6ixU-nB0wsTicOWGwipLSA9WyrxoA/s640/_DSC8544.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXjZ6I0VvjV87B-FTt0dhSg8ezJmoGVJQTLfAOZZOQX96s7N3_iEWutL3axkCNc3VRJ92TPJKzdBqbTSH4AIDdk9Z6VA9kop-3QCKMagm2BhVCNd6ixU-nB0wsTicOWGwipLSA9WyrxoA/s72-c/_DSC8544.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/03/chama-cha-madaktari-wa-afya-ya-kinywa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/chama-cha-madaktari-wa-afya-ya-kinywa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy