WAZIRI NAPE AFANYA MSAKO KARIAKOO LEO WA KUKAMATA WANAODURUFU KAZI ZA WASANII
HomeJamii

WAZIRI NAPE AFANYA MSAKO KARIAKOO LEO WA KUKAMATA WANAODURUFU KAZI ZA WASANII

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (katikati) akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Idara ya Habari ...

WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MITANDAO KUPATA MAARIFA
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA
UZINDUZI WA HUDUMA YA AFYA KWA WATOTO YATIMA MAZIZUINI ZANZIBAR LEO.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (katikati) akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO, Dkt. Hassan Abbas (kushoto) pamoja na maafisa wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), wakia katika oparesheni maalum ya kushtukiza la kukamata wafanyabiashara wanaodurufu kazi mbalimbali za sanaa nchini, katika eneo la Karikoo jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (kushoto) akiongoza msafara huo wa kufanya oparesheni maalum ya kushtukiza la kukamata wafanyabiashara wanaodurufu kazi mbalimbali za sanaa nchini, katika eneo la Karikoo jijini Dar es salaam leo. Picha na Iman Nsamila.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akiangalia baadhi ya DVD feki zilizokuwepo katika moja ya maduka ya Kariakoo, Jijini Dar es salaam leo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akiingia katika moja ya stoo za Duka mojawapo linalouza na kudurufu kazi za wasanii mbalimbali nchini.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI NAPE AFANYA MSAKO KARIAKOO LEO WA KUKAMATA WANAODURUFU KAZI ZA WASANII
WAZIRI NAPE AFANYA MSAKO KARIAKOO LEO WA KUKAMATA WANAODURUFU KAZI ZA WASANII
https://i.ytimg.com/vi/eSl_ZgyW9dE/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/eSl_ZgyW9dE/default.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/02/waziri-nape-afanya-msako-kariakoo-leo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/waziri-nape-afanya-msako-kariakoo-leo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy