RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha kwenye simu pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli (katikati) pamoja na mdogo wake Monica. Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita.

HomeJamii

RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha kwenye simu pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli ...

TANZIA: RAIS DKT. MAGUFULI AOMBOLEZA VIFO VYA MABINTI MAPACHA WALIOUNGANA MARIA NA CONSOLATA
OPERESHENI YA POLISI MIKOA YA KUSINI YAENDELEA
DKT. AKWILAPO AZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI HESLB


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha kwenye simu aliyokuwa akioneshwa na Mama yake mzazi Mama Suzana Magufuli nyumbani kwao katika kijiji cha Lubambangwe Chato mkoani Geita.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza radio pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli wa pili kutoka (kushoto) mdogo wake Monica wa kwanza (kushoto), na Dada yake Asteria wa kwanza (kulia). Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza radio pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli na mdogo wake Monica wa (kushoto). Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita. (PICHA NA IKULU)







Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg4Q1qQSvTkcNrbxEvYiPZQsFd-cMOJQ3x3bClddXXihNRlwBizDv5MgMb07qeP3J6eF2uXZAKiarJ_qkDIv_5vic2Ab4ybuLqTDgib0BK65qvt-JOnQ_HFrU1aQL_lPDFfCj14CuBQIng/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg4Q1qQSvTkcNrbxEvYiPZQsFd-cMOJQ3x3bClddXXihNRlwBizDv5MgMb07qeP3J6eF2uXZAKiarJ_qkDIv_5vic2Ab4ybuLqTDgib0BK65qvt-JOnQ_HFrU1aQL_lPDFfCj14CuBQIng/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/rais-dkt-magufuli-akiwa-mapumzikoni.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/rais-dkt-magufuli-akiwa-mapumzikoni.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy