UCHIMBAJI VISIMA VIKUBWA 20 VYA DAWASA KUKAMILIKA MWEZI UJAO
HomeJamii

UCHIMBAJI VISIMA VIKUBWA 20 VYA DAWASA KUKAMILIKA MWEZI UJAO

  Maji yakiruka juu baada ya kutobolewa mwamba mita    600 kutoka katika moja ya visima 20 vinavyojengwa na Mamlaka ya Majisafi na Maji...

ZINGATIA HAYA UNAPOTAKA KUENDESHA GARI UMBALI MREFU
WABUNGE WAPEWA SOMO KUHUSU FAIDA ZA UTALII NA UMUHIMU WA KUHIFADHI WANYAMA PORI
BALOZI SEIF AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA NA WASHIRIKA WAKE

 Maji yakiruka juu baada ya kutobolewa mwamba mita  600 kutoka katika moja ya visima 20 vinavyojengwa na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) katika eneo la Kimbiji, Kigamboni Na Mpera Mkuranga. Mamlaka hiyo imejidhatiti kutatua uhaba wa maji kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam na viunga vyake. Uchimbaji wa visima hivyo unatarajiwa kukamilika Machi mwaka huu. (Picha zote na Richard Mwaikenda wa Matukio Blog)

 Maji yakiruka juu baada ya kutobolewa mwamba mita
600 kutoka katika moja ya visima 20 vinavyojengwa na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) katika eneo la Kimbiji, Kigamboni Na Mpera Mkuranga. Mamlaka hiyo imejidhatiti kutatua uhaba wa maji kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam naviunga vyake. Uchimbaji wa visima hivyo unatarajiwa kukamilika Machi mwaka huu.







 Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi wa Dawasa, Romanus Mwang'ingo akielezea mikakati ya huduma za maji katika Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani.

 Mwang'ingo akiwa na baadhi ya watalaamu wa Kampuni ya Serengeti akielekea kukagua uchimbaji wa Kisima eneo la Kimbiji

Mwenyekiti wa Mradi wa Maji wa Ngembaki, Salum Selenge akielezea mbele ya wanahabari kuhusu mafanikio ya mradi huo kwa wajkazi wa eneo la Mbagala Kuu.

 Msemaji wa Dawasa, Nelly Msuya akifafanua mambo mbalimbali kuhusu huduma za mamlaka hiyo, wakati wanahabari walipotembelea Mradi wa Maji wa Jamii wa Ngembaki, Ra

Tamki la kuhifadhi maji katika Mradi wa Maji wa Ngembaki  Mbagala Kuu Dar es Salaam unahudumia zaidi ya wakazi 40,000.

Meneja wa Mradi wa Maji wa Kipunguni B, Ukonga Dar es Salaam, Marcus Mwalugenge, akielezea kuhusu mafanikio ya mradi huo wenye tanki (chini) lenye uwezo wa kuhifadhi maji lita za ujazo 135,000


ESHA MITI KATIKA ENEO LA NUSU MAILI ,HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: UCHIMBAJI VISIMA VIKUBWA 20 VYA DAWASA KUKAMILIKA MWEZI UJAO
UCHIMBAJI VISIMA VIKUBWA 20 VYA DAWASA KUKAMILIKA MWEZI UJAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEidvUwEwIUaFPGBTTeZ2GrlLoaYbbkuOLfi0CaQ1lq-5roXFJeKo5O1Psob0NU4q7kgzDXgcSnN2VLyud44-qpwSZyjlxVWcp0cEUoVpcNd-aYumPVNFz3NN0mEVcihPHd2I6ISO-c5rCII/s640/01.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEidvUwEwIUaFPGBTTeZ2GrlLoaYbbkuOLfi0CaQ1lq-5roXFJeKo5O1Psob0NU4q7kgzDXgcSnN2VLyud44-qpwSZyjlxVWcp0cEUoVpcNd-aYumPVNFz3NN0mEVcihPHd2I6ISO-c5rCII/s72-c/01.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/02/uchimbaji-visima-vikubwa-20-vya-dawasa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/uchimbaji-visima-vikubwa-20-vya-dawasa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy