JESHI LASIKITISHWA NA UTAPELI AJIRA JWTZ
HomeJamii

JESHI LASIKITISHWA NA UTAPELI AJIRA JWTZ

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO Simu ya Upepo  : “ N G O M E ”        Makao Makuu ya Jeshi, ...

MWILI WA MKURUGENZI MKUU HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI MSTAAFU KUZIKWA LEO MAKABURI YA KINONDONI DAR ES SALAAM
BOHARI YA DAWA (MSD) YAWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI FURSA NCHINI
SERIKALI YAZINDUA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA HOSPITALI NCHINI

logo[3]

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO

Simu ya Upepo  : “N G O M E”        Makao Makuu ya Jeshi,
Simu ya Mdomo: DSM 22150463     Sanduku la Posta 9203,
Telex                   : 41051               DAR ES SALAAM, 20  Februari, 2017.
Tele Fax              : 2153426
Barua pepe       : ulinzimagazine@yahoo.co.uk
Tovuti                  : www.tpdf.mil.tz
Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limeshitushwa na kusikitishwa na taarifa za kutapeliwa wananchi kuhusu ajira za JWTZ. Hivi karibuni kumezuka kundi la watu wanao jiita mawakala wa kutafuta vijana wa kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania na mara nyingi hutumia majina ya viongozi wa JWTZ kutapeli, huwataka wananchi hao kuwapa fedha ili kuweza kuwapatia nafasi hizo.

JWTZ linapenda kuwafahamisha wananchi kuwa nafasi za ajira Jeshini hutangazwa kwa kufuata taratibu za ajira ambapo JKT imepewa mamlaka ya kuwachukuwa vijana kutoka uraiani kwa kutoa matangazo ya wito wa vijana wa kujitolea ambapo matangazo hayo hutolewa hadi ngazi ya wilaya, vijana hao hutakiwa kuwa na  nyaraka mbali mbali zikiwemo za elimu, uraia na nyaraka nyingine kama hizo ili kukidhi vigezo  vya kupatiwa mafunzo ya kijeshi.

Baada ya kumaliza mafunzo hayo wahitimu hubaki JKT kwa muda wakisubiri vyombo vya ulinzi na usalama likiwemo JWTZ kutoa ajira kulingana na hitajio la vyombo hivyo. Wananchi wanatakiwa kufuata taratibu hizo ili kuepuka udanganyifu unaoweza kusababisha kutapeliwa fedha zao. Jeshi halitahusika na madai yoyote yatakayotokana na udanganyifu huo.
Imetolewa  na  Kurugenzi  ya  Habari  na  Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P  9203,   Dar es Salaam,  Tanzania.
Kwa Mawasiliano zaidi: 0756-716085
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: JESHI LASIKITISHWA NA UTAPELI AJIRA JWTZ
JESHI LASIKITISHWA NA UTAPELI AJIRA JWTZ
https://lh3.googleusercontent.com/--7-_Yj-eD53UgDHiUE-lpHwEw7LxW9e5wXFIDb-WWjLtYUicPE-0ISVrCO92zmFy5c7W3ls28LwbZ4qjEeR08OqG1XMfZiFI3EwCxqBoDEdXVNFVjoRo-meoWGYYCU2o7_rEImDDC4dtg2sgA
https://lh3.googleusercontent.com/--7-_Yj-eD53UgDHiUE-lpHwEw7LxW9e5wXFIDb-WWjLtYUicPE-0ISVrCO92zmFy5c7W3ls28LwbZ4qjEeR08OqG1XMfZiFI3EwCxqBoDEdXVNFVjoRo-meoWGYYCU2o7_rEImDDC4dtg2sgA=s72-c
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/02/jeshi-lasikitishwa-na-utapeli-ajira-jwtz.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/jeshi-lasikitishwa-na-utapeli-ajira-jwtz.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy