JAMBO LEO WALIVYOUPOKEA MWAKA MPYA 2017
HomeJamii

JAMBO LEO WALIVYOUPOKEA MWAKA MPYA 2017

 Wafanyakazi wa Gazeti la Jambo Leo linalochapishwa na Kampuni ya Quality Media Group Limited wakiwa na furaha wakati wa hafla ya k...

SERIKALI YATUMIA BILIONI 85 KUPELEKA MAWASILIANO VIJIJINI
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
MULTCHOICE YATANGAZA NEEMA KWA WATEJA WA DStv






 Wafanyakazi wa Gazeti la Jambo Leo linalochapishwa na Kampuni ya Quality Media Group Limited wakiwa na furaha wakati wa hafla ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2017 kwenye Ukumbi wa Ground Zero, Kurasini Dar es Salaam juzi.

 Wakigongeana ikiwa ni ishara ya kutakiana heri ya Mwaka Mpya wa 2017.

 Wakicheza kwa furaha muziki uliokuwa ukiporomoshwa wakati wa hafla hiyo

 Mwenyekiti wa Kamati ya hafla hiyo ambaye ni Mpiga Picha Mkuu wa gazeti hilo, Richard Mwaikenda akimtambulisha Mkurugenzi wa Gound Zero Lounge, Juma Pinto kwa madereva wa Kampuni Mama ya Quality Group Limited (QGL), Salumu (kushoto) na Ramadhan

 Mhariri Mtendaji wa gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwesa akisalimiana na Juma Pinto. Kushoto ni Mhariri Mwandamizi wa gazeti hilo, Leon Bahati.

 Wajumbe wa Kamati ya Sherehe hiyo wakijadiliana kuweka mambo sawa. Kutoka kushoto ni Zahoro Mlanzi, Grace Sima, Asha Kigundula na Neema Mgonja.

 Katibu wa Kamati ya Sherehe, Neema Mgonja (aliyesimama) akiwapa utaratibu wa maakuli wajumbe. Kutoka (kushoto) ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Richard Mwaikenda, Grace Sima, Jemmah Makamba na Dalila Sharif

 Mhariri wa Habari wa Jambo Leo, Kachenje (kulia) akitaniana na Mhariri Mwandamizi, Frank Balile na Mhariri Mwandamizi wa Jambo Leo Wikiend, Said Mwishehe (kushoto).

 Ni furaha kwa wote

 Sasa ni wakati wa msosi.



 Charity James na Charles Jemes wakiserebuka

 Ni msosi, vinywaji kwa kwenda mbele

 Mpigapicha wa gazeti la Jambo Leo, Janeth Shekunde akimlisha ndafu Asha Kigundula ambaye alikuwa mweka hazina wa kamati hiyo ilifanikisha sherehe hiyo

 Mpigapicha wa gazeti la Jambo Leo, Khamisi Mussa (kulia) na Frank Balile wakila nyama choma ya mbuzi

 Chief Sub Editor wa Jambo Leo, Joseph Kulangwa akicheza muziki na Stelah Kessy (kulia) pamoja na Charity James

 Sasa ni wakati wa supu ya mbuzi

 Ni furaha, furaha, furahaaaaaaaa

 Mwaikenda akiwa na Jemmah Makamba (katikati) pamoja na Dalila Sharif

 Baadhi ya waandishi wa kike wa Jambo Leo wakiwa na sura zenye bashaha wakati wa sherehe hiyo

 Sasa ni mwendo mdundo

 Mhariri Mtendaji wa Jambo Leo, Mwess (katikati) akifurahi na baadhi ya waandishi wa habari wa gazeti hilo

 Mmoja wa Wakurugenzi wa Ground Zero Lounge, Benny Kisaka akisalimiana na Mhariri wa Jambo Leo, Kachenje. Kushoto ni Mhariri Mwandamizi wa gazeti hilo, Mashaka Mgeta na Joseph Kulangwa.

 Maakuli, maakuli, maakuli

 Mwesa na Bahati wakiwa na furaha

 Mwaikenda akiserebuka na Jemmah

 Kachenje na Charity ni muziki tu

Wasanifu kurasa wa gazeti hilo wakipata supu ya mbuzi. Kutoka kulia ni Grace Sima, Robert na Khamisi Kumbuka.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: JAMBO LEO WALIVYOUPOKEA MWAKA MPYA 2017
JAMBO LEO WALIVYOUPOKEA MWAKA MPYA 2017
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhXzTft8GRyLr07N09Ajjb2hlJZZd-uLAo1HTF1A6ERRncXdeQMRGlfatYmV8kXaKvBtyu7OI4mBNLYTP0I0jjZv4fqhS_284GCt354mQF-RI8eDyn3kP37zoIGzYj-eL8G6G0pXLPo9mc/s640/01.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhXzTft8GRyLr07N09Ajjb2hlJZZd-uLAo1HTF1A6ERRncXdeQMRGlfatYmV8kXaKvBtyu7OI4mBNLYTP0I0jjZv4fqhS_284GCt354mQF-RI8eDyn3kP37zoIGzYj-eL8G6G0pXLPo9mc/s72-c/01.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/jambo-leo-walivyoupokea-mwaka-mpya-2017.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/jambo-leo-walivyoupokea-mwaka-mpya-2017.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy