Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba, (kushoto), akimwelezea jambo Makamu wa Rais wa Shirika la Serika...
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba, (kushoto), akimwelezea jambo Makamu wa Rais wa Shirika la Serikali ya Japan, linaloshughulikia uratibu wa misada ya maendeleo ya kimataifa, (JICA), Suzuki Noriko, kuhusu hatua iliyofikiwa na TANESCO katika uboreshaji wa miundombinu ya kupoza na kusambaza umeme alipotembelea kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Ilala-Mchikichini jijini Dar es Salaam, ambapo JICA inashirikana na serikali katika kukiboresha kituo hicho.

Mhandisi Mramba akizungumza na mwakilishi wa JICA Tanzania Bi.Toshio Nagase
Mhandisi Mramba, akiongoza ujumbe wa JAICA kutembelea kituo hicho.
![]() |
Mafundi wa TANESCO kwa kushirikiana na wataalamu kutoka Japan, wakimalizia kazi ya kufunga mitambo kwenye kituo hicho cha Ilala |

Mhandisi Mramba akizungumza na mwakilishi wa JICA Tanzania Bi.Toshio Nagase
Mhandisi Mramba, akiongoza ujumbe wa JAICA kutembelea kituo hicho.
Mhandisi Mramba akimshukuru bi Nagase baada ya kutembelea kituo hicho. Katikati ni Meneja Mwandamizi wa TANESCO kanda ya Dar es Salaam na Pwani Mhandisi, Mahende Mgaya.
Wataalamu wa mitambo ya umeme kutoka Japan, wakijadiliana.
COMMENTS