Dkt.Leonald Subi Na George Binagi-GB Pazzo Mganga Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Dkt. Leonald Subi, amewahimiza wananchi kuwa ...
Dkt.Leonald Subi
Na George Binagi-GB Pazzo
Mganga Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Dkt. Leonald Subi,
amewahimiza wananchi kuwa na desturi ya kupima afya zao mara
kwa mara hususani kwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza ili
kuepukana na madhara yake ikiwemo vifo vinavyofikia asilimia 27
nchini.
Dkt Subi aliyasema hao wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya bure ya uchunguzi wa saratani ya matiti na mlango wa kizazi mkoani
Mwanza, inayofanyika kwa siku mbili kuanzia jana katika
Uwanja wa Furahisha, Vituo vya afya Igoma, Karumbe na
Makongoro.
Mwanza, inayofanyika kwa siku mbili kuanzia jana katika
Uwanja wa Furahisha, Vituo vya afya Igoma, Karumbe na
Makongoro.
Aidha Dkt. Subi aliwahimiza wanajamii kubadili mfumo wa
maisha kwa kuzingatia kanuni za afya ili kuepukana na madhara
yatokanayo na magonjwa yasiyo ya kuambukiza
ambayo ni pamona na kansa, presha pamoja na kisukari.
maisha kwa kuzingatia kanuni za afya ili kuepukana na madhara
yatokanayo na magonjwa yasiyo ya kuambukiza
ambayo ni pamona na kansa, presha pamoja na kisukari.
“Magonjwa haya yanatokana na namna ya maisha tunavyoishi
ikiwemo kutokufanya mazoezi, ulaji wa chakula usiozingazi
kanuni, ulevi, uvutaji wa sigara, kuwa na wapenzi
wengi na kutokuzingatia kanuni za afya kwa ujumla”. Alisema
Dkt.Subi.
ikiwemo kutokufanya mazoezi, ulaji wa chakula usiozingazi
kanuni, ulevi, uvutaji wa sigara, kuwa na wapenzi
wengi na kutokuzingatia kanuni za afya kwa ujumla”. Alisema
Dkt.Subi.
Kampeni ya uchunguzi wa saratani ya matiti na mlango wa kizazi
inaratibiwa na Chama cha Madaktari Wanawake nchini MEWATA
katika mikoa ya Mwanza, Iringa na Mbeya kwa
lengo la kuhamasisha wananchi kupata huduma mapema kwani
magonjwa yasiyo ya kuambukiza ikiwemo saratani hutibika ikiwa
mgonjwa ataanza matibabu mapema.

Tazama HAPA Picha za Uzinduzi
COMMENTS