HomeJamii

TAMKO LA MTANDAO WA MABADILIKO YA TABIANCHI KUHUSU MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA 2017/18

Mtandao wa mabadiliko ya tabianchi umetoa tamko lake juu ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2017/18 na Mwongozo...

SPIKA NDUGAI, KATIBU WA BUNGE, NDG. KAGAIGAI WATEMBELEA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII
MPANGO WA UENDESHAJI WA KIJINSIA KWA AJILI YA MWITIKIO WA UKIMWI TANZANIA BARA WATAMBULISHWA RASMI KWA MKOA WA SINGIDA
HITILAFU YA MFUMO WA KUPOKELEA GESI KINYEREZI I, TATHIMINI YAONYESHA MATENGENEZO MAKUBWA YANAHITAJIKA.





Mtandao wa mabadiliko ya tabianchi umetoa tamko lake juu ya Mapendekezo
ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2017/18 na Mwongozo wa Kuandaa Mpango
na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2017/18 ambao
ni mwaka wa pili wa utekelezaji wa “Mpango
wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2016/17 – 2020/21)” wenye dhima ya “Kujenga
Uchumi wa Viwanda ili Kuchochea Mageuzi ya Uchumi na Maendeleo ya Watu”.
Katika taarifa yao
pamoja na
kutambua kuwa suala la Mabadiliko ya Tabianchi’ limeainishwa kama moja ya maeneo ya
kuzingatia kwa ukuaji wa uchumi na ustawi wa taifa, wametoa mapendekezo yako
katika maeneo makuu matano.
Kwa kifupi mapendekezo hayo ni pamoja na Mabadiliko ya tabianchi ni suala
la kiuchumi na ni zaidi ya suala la mazingira pekee, Utekelezaji wa miradi ya
maendeleo ikiwemo miundombinu izingatie masuala ya mabadiliko ya tabianchi, Kuongeza
mgawanyo wa matumizi katika miradi ya maendeleo kulinganisha na kawaida, Ufuatiliaji
na tathmini ya utekelezaji wa miradi ya mabadiliko ya tabianchi na Ushirikishwaji
wa wadau. Soma zaidi
Tamko La Mtandao Wa Mabadiliko Ya Tabianchi Kuhusu Mapendekezo Ya Mpango Wa Maendeleo Wa Taifa 201718 Na Mw... by King Mandolin Kahindi on Scribd

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAMKO LA MTANDAO WA MABADILIKO YA TABIANCHI KUHUSU MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA 2017/18
TAMKO LA MTANDAO WA MABADILIKO YA TABIANCHI KUHUSU MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA 2017/18
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/tamko-la-mtandao-wa-mabadiliko-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/tamko-la-mtandao-wa-mabadiliko-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy