KAIMU KATIBU MKUU UVCCM TAIFA SHAKA AFANYA ZIARA WILAYANI NGARA MKOA WA KAGERA NA KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA UMOJA HUO
HomeSiasa

KAIMU KATIBU MKUU UVCCM TAIFA SHAKA AFANYA ZIARA WILAYANI NGARA MKOA WA KAGERA NA KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA UMOJA HUO

  Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza na Wajumbe wa Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretar...

MWENYEKITI WA CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM
LUSINDE AUWASHA MOTO KOROGWE MKOANI TANGA WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI AWATAKA WANANCHI KUMPA KURA ZA KISHINDO MGOMBEA WA CCM
NEC YARIDHIA KUHAMISHWA KWA VITUO 21 VYA KUPIGIA KURA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATA YA MBWENI








  Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza na Wajumbe wa Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretariet ya CCM Wilayani Ngara Katika  Kikao Cha Ndani Kilicho Fanyika katika Ukumbi wa Engubenako Wilayani Ngara.

 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu
Shaka (MNEC) akiwasili katika Kijiji Cha BENACO Wilayani Ngara, Shaka yupo  kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM 2015-2020.



 Mwenyekiti wa uvccm Mkoa wa Kagera Bw. Yahya Kateme akizungumza kumkaribisha Ndg: Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka Kuzungumza na Wajumbe wa Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretariet ya CCM Wilayani Ngara.
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa
Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza na Wajumbe wa Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretariet ya CCM
Wilayani Ngara Katika  Kikao Cha Ndani Kilicho Fanyika katika Ukumbi wa Engubenako Wilayani Ngara.


 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa
Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizindua Mradi wa kikundi cha Vijana wajasiliamali cha Ufugaji wa Nyuki na Shamba la
Upandaji wa Miti katika kijiji cha Nyaruku Wilayani Ngara.


 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua Mradi wa Usambazaji wa Umeme Vijijini katika kijiji cha Nyankenda ikiwa ni Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-2020.
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua Ukamilishaji wa Agizo la  Utengenezaji wa Madawati  katika Shule ya Msingi Rulenge Jinsi lilivyo Kamilika kama alivyotoa agizo Mhe: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa
Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akimkabidhi mmoja kati ya Wazee 25 waliopokea Vyeti Vya Matibabu ya bure kwa wazee katika kijiji cha kijiji cha Mumiramila Wilayani Ngara.


 Mwandishi wa Gazeti la Uhuru Bw. Antari Sangali pamoja na wazee wakijiji cha Mumilamila Wilayani Ngara wakimsikiliza kwa makini Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)alipo kua akigawa Vyeti kwaajili ya Matibabu ya Bure kwa wazee.
:Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka
Hamdu Shaka (MNEC) alipo zindua Mradi wa Shamba la Uvccm wilayani Ngara kwa ajili ya Shughuli Mbali mbali za kilimo kwa Vijana Wilayani humo ikiwa ni Utekelezaji wa agizo lake alilotoa kwa Makatibu wote kuandaa miradi Mbali mbali ili kukwamua Vijana kiuchumi kama kauli Mbiu yake isemayo'' SIASA NA UCHUMI'' (Picha na Woinde Shizza).
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAIMU KATIBU MKUU UVCCM TAIFA SHAKA AFANYA ZIARA WILAYANI NGARA MKOA WA KAGERA NA KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA UMOJA HUO
KAIMU KATIBU MKUU UVCCM TAIFA SHAKA AFANYA ZIARA WILAYANI NGARA MKOA WA KAGERA NA KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA UMOJA HUO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgllhyphenhyphenoomU_tB8OE45TrV5td-6LKBIevf__YMLtRMDocACSmyMqE4M9oO-LmKyPTFkzQSaeLca3trg3ob18hvQS0FUzkIJ2tAX_YfuhaB5F7d8Cjl5ealSTk2eRVyS74RHSmpnJSKbYTtS/s640/3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgllhyphenhyphenoomU_tB8OE45TrV5td-6LKBIevf__YMLtRMDocACSmyMqE4M9oO-LmKyPTFkzQSaeLca3trg3ob18hvQS0FUzkIJ2tAX_YfuhaB5F7d8Cjl5ealSTk2eRVyS74RHSmpnJSKbYTtS/s72-c/3.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/12/kaimu-katibu-mkuu-uvccm-taifa-shaka.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/kaimu-katibu-mkuu-uvccm-taifa-shaka.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy