LUSINDE AUWASHA MOTO KOROGWE MKOANI TANGA WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI AWATAKA WANANCHI KUMPA KURA ZA KISHINDO MGOMBEA WA CCM

Mbunge wa Jimbo la Mtera (CCM) Livingstone Lusinde  akiunguruma katika mkutano wa hadhara wa kumuombe kura mgombea Udiwani...





Mbunge
wa Jimbo la Mtera (CCM) Livingstone Lusinde  akiunguruma katika mkutano
wa hadhara wa kumuombe kura mgombea Udiwani Kata ya Majengo wilayani
Korogwe Mkoani Tanga
Mustapha Shengwatu
wakati
wa uzinduzi wa kampeni hiyo zilizofanyika kwenye uwanja wa sabasaba
wilayani Korogwe ambapo aliwataka wananchi kumchagua mgombea wa CCM
kwani ndiye ambaye anaweza
kuwapa maendeleo kwa haraka zaidi
 Mbunge wa Jimbo la Mtera
(CCM) Livingstone Lusinde
akiunguruma katika mkutano wa hadhara wa kumuombe kura mgombea Udiwani
Kata ya Majengo wilayani Korogwe Mkoani Tanga
Mustapha Shengwatu wakati
wa uzinduzi wa
kampeni hizo zilizofanyika kwenye uwanja wa sabasaba wilayani Korogwe
ambapo aliwataka wananchi kumchagua mgombea wa CCM
Mbunge
wa Jimbo la Mtera (CCM) Livingstone Lusinde kushoto akimnadi mgombea
udiwani Kata ya Majengo Halmashauri ya Korogwe Mji kupitia Chama cha
Mapinduizi (CCM)
Mustapha Shengwatu
kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja
vya Sabasaba sokoni wilayani humo
 Katibu wa Chama cha Mapinduzi
(CCM)Mkoa wa Tanga Allan Kingazi akizungumza katika uzinduzi huo wa
kampeni kumuombea kura mgombea wa CCM
Mustapha Shengwatu kupitia kata ya Majengo
Halmashauri ya Korogwe Mji
Katibu
wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Tanga Allan Kingazi akizungumza
katika uzinduzi huo wa kampeni kumuombea kura mgombea wa CCM
Mustapha Shengwatu
kupitia kata ya Majengo Halmashauri ya Korogwe Mji

Mwenyekiti wa CCM Korogwe Vijijini,Nassoro
Hemedi Malingumu akizungumza katika mkutano huo wa
hadhara
Mwenyekiti
wa CCM Korogwe Mjini Emanuel Charles akizungumza katika mkutano huo
kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Mtera,Livingstone Lusinde maarufu kama
Kibajaji ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kampeni
hizo
Mbunge
wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa
Maji Marefu akizungumza katika mkutano huo ambapo aliwataka wananchi wa
Kata ya Majengo kumchagua mgombea wa CCM ili waweze kushirikiana naye
kuhakikisha maendeleo yanapatikana kwa kasi zaidi
Mbunge
wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM) Marry Chatanda akizungumza katika
mkutano huo ambapo aliwataka wananchi kuhakikisha hawafanyi makosa kwa
kumpa kura nyingi za kutosha mgombea udiwani wa CCM kwani dhamira yake
ni kuhakikisha anawapatia maendeleo kwa kiwango kikubwa
Katibu wa CCM Korogwe Mjini Ally Issa Ally
akizungumza katika mkutano huo wa hadhara
Mgombea
Udiwani wa Kata ya Majengo katika Halmashauri ya Korogwe Mji kupitia
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mustapha Shengwatu akiwahutubia wananchi
katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba
sokoni 


 Katibu wa Chama cha Mapinduzi
(CCM)Mkoa wa Tanga Allan Kingazi katikati akifuatilia hotuba ya Mbunge
wa Jimbo la Mtera mkoani Dodoma Livingstone Lusinde maarufu kama
Kibajaji wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo kulia ni Mbunge wa Jimbo la
Korogwe Mjini (CCM) Marry Chatanda na kushoto ni Mgombea Udiwani wa CCM
Mustapha Shengwatu
Katibu
wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Tanga Allan Kingazi kushoto akiteta
jambo na Mbunge wa Jimbo la Mtera Mkoani Dodoma (CCM) Livingstone
Lusinde maarufu kama Kibajaji wakati wa uzinduzi huo katikati
anayeshughudia ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM) Marry
Chatanda (Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga
Raha)


Mbunge
wa Jimbo la Mtera Mkoani Dodoma (CCM) Livingstone Lusinde maarufu kama
Kibajaji akisalimiana na makada wa CCM mara baada ya kuwasili kwenye
uwanja wa Sabasaba sokoni  wakati wa uzinduzi huo kampeni za mgombea
Udiwani kupitia chama hicho kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga,Allan
Kingazi
Mbunge
wa Jimbo la Mtera Mkoani Dodoma (CCM) Livingstone Lusinde maarufu kama
Kibajaji katikati akiwa na viongozi mbalimbali wa CCM Mkoa wa Tanga
kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga,Allan Kingazi kulia ni Katibu wa
CCM Korogwe Mjini,Ally Issa Ally na Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini
(CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu wakiingia uwanja
wa Sabasaba sokoni tayari kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za mgombea
udiwani wa CCM Kata ya Majengo
 Mbunge wa Jimbo la Korogwe
Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu kushoto
akifuatilia kwa umakini hotuba ya Mbunge wa Jimbo la Mtera (CCM)
Livingstone Lusinde alimaarufu Kibajaji wakati wa uzinduzi wa kampeni za
Udiwani Kata ya Majengo Halmashauri ya Korogwe Mjini huku akiwa na
viongozi mbalimbali wa CCM
 Sehemu ya umati wa
wananchi wakifuatilia kampeni hizo

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: LUSINDE AUWASHA MOTO KOROGWE MKOANI TANGA WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI AWATAKA WANANCHI KUMPA KURA ZA KISHINDO MGOMBEA WA CCM
LUSINDE AUWASHA MOTO KOROGWE MKOANI TANGA WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI AWATAKA WANANCHI KUMPA KURA ZA KISHINDO MGOMBEA WA CCM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBDhSJcRZ0YzmG8-dp96A29FiDyeTnV2fc_UiR20ajfUnvZhcJVMFMWMm-QEloE3-PQM_14ud_JaBw92J7_D9CODW59cV881cT6A1r0DvTBxQ7z1toGarMvAEmxjNRUEO2qgM9WguerAXx/s640/blog+1.2.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBDhSJcRZ0YzmG8-dp96A29FiDyeTnV2fc_UiR20ajfUnvZhcJVMFMWMm-QEloE3-PQM_14ud_JaBw92J7_D9CODW59cV881cT6A1r0DvTBxQ7z1toGarMvAEmxjNRUEO2qgM9WguerAXx/s72-c/blog+1.2.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/lusinde-auwasha-moto-korogwe-mkoani.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/lusinde-auwasha-moto-korogwe-mkoani.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy