Afisa Mipango wa Wilaya ya Kibaha Vijijini, Bw. Wambura Yamo, akimshukuru Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, ...
Afisa Mipango wa Wilaya ya Kibaha Vijijini,
Bw.Wambura Yamo, akimshukuru Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Usimamizi na
Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ally Masaniga baada ya
kukabidhiwa mifuko 100 ya saruji na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji
wa SSRA, Bi. Sarah Kibonde Msika, kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa
madarasa ya Shule za Msingi za wilaya hiyo.
|
Sehemu ya mifuko 100 ya saruji iliyotolewa msaada na Mamlaka ya
Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), kwa Halmashauri ya
Wilaya ya Kibaha Vijijini kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa madarasa ya
Shule za Msingi za wilaya hiyo.
|
Mkuu wa Kitengo
cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Bi. Sarah Kibonde Msika, Afisa Mipango wa Wilaya ya Kibaha Vijijini, Bw. Wambura Yamo
(katikati) na Afisa Uhusiano wa Mamlaka hiyo, Ally Masaniga wakiwa katika
picha ya pamoja mara baada ya makabidhiano hayo, wilayani humo hivi karibuni.
|
Mkuu wa Kitengo
cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Bi. Sarah Kibonde Msika akiagana
na Afisa Mipango wa Wilaya ya Kibaha Vijijini Wambura Yamo, mara
baada ya makabidhiano hayo, wilayani humo hivi karibuni.
|
COMMENTS