Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati ya Pamoja y...
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiongoza kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya
Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kilichofanyika kwenye
ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan (katikati)akiongoza kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya
Jamhuri ya
Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kilichofanyika kwenye
ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi, kushoto ni Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na kulia ni Makamu
wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira
Mhe. January Makamba akielezea masuala mbali mbali ambayo yamejadiliwa
na Mawaziri wa Tanzania Bara pamoja Visiwani.
Baadhi wa Mawaziri kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia
kwa makini kikao hicho ambacho changamoto mabli mbali zinazohusu
Muungano.
COMMENTS