HALMASHAURI YAIFUNGIA KWA MUDA USIOJULIKANA SHULE YA MSINGI HAZINA MISION KWA KUTOKUWA NA VIWANGO VYA UANDIKISHAJ
HomeJamii

HALMASHAURI YAIFUNGIA KWA MUDA USIOJULIKANA SHULE YA MSINGI HAZINA MISION KWA KUTOKUWA NA VIWANGO VYA UANDIKISHAJ

Na Woinde Shizza, Arus ha HALMASHAURI ya jiji la Arusha imeifungia kwa muda usiojulikana shule ya msingi Hazina Mision ili...

WASHINDI WA AFYABANDO WAKABIDHIWA KADI ZAO ZA BIMA YA AFYA
MAADHIMISHO YA SIKU YA MOYO DUNIANI TAASISI YA MOYO (JKCI) KUFANYA UPIMAJI KWA WANANCHI BILA MALIPO
MAMIA WAFUNGULIWA KWENYE MKUTANO MKUBWA WA INJILI JIJINI MWANZA






Na Woinde
Shizza, Arusha




HALMASHAURI ya jiji la Arusha imeifungia kwa muda usiojulikana shule ya


msingi Hazina Mision iliyopo kata ya Baraa mara baada ya uongozi wa shule hiyo kushutumiwa kwa makosa mbali mbali ikiwemo kuwatelekeza
watumishi wake pamoja na  mindombinu kuwa chini ya viwango vinavyohitajika katika uandikishaji wa shule.




Hatua hiyo ya kufungiwa kwa shule hiyo imekuja mara baada  siku chache zilizopita wamiliki wa shule hiyo kulalamikiwa kuwanyanyasa namkushindwa


kuwalipa mishahara watumishi na walimu  wa shule hiyo na hivyo kutakiwa kufanya marekebisho na kuwalipa stahiki watumishi lakini wakakaidi
kufanya maagizo hayo kwa muda waliopewa.




Akitoa agizo hilo katika viwanja vya shule hiyo kaimu afisa elimu  shule za msingi katika jiji la arusha Eunice Elibariki alisema kuwa wameamua kusimamisha huduma ya utoaji elimu kutokana na shule hiyo kushindwa kufanya marekebisho waliyotakiwa kuyafanya shuleni hapo.




Alisema kuwa awali kabla hatua hiyo haijafikiwa walipata taarifa kuwa uongozi wa shule hiyo inawanyanyasa walimu kwa kuwanyima mishahara yao, kutokuwa na mindombinu kuachilia viwango pamoja na kuwepo uchafuzi wa mazingira na ndipo uongozi ukapewa muda wa kufanya marekebisho hayo pamoja


na kimaliza migogoro ya kimaslahi lakini walikaidi kutoa ushirikiano hali iliyopelekea halmashauri hiyo kuchukua hatua ya kusimamisha utoaji huduma.




"Kwa kuwa uongozi  wa shule hii mlishindwa kufanya marekebisho mlioagizwa ikiwa ni pamoja na kishindwa kumaliza migogoro ya walimu kuanzia sasa nasimamisha huduma za masomo hadi hapo mtakapoweza kuiweka shule
yenu katika mazingira yanayohitajika kwani lazima shule iwe na viwango na
sifa zinavyohitajika sio tu kuendesha kiholela "alisema
Eunice




Wananchi wa eneo hilo akiwemo  Diwani wa kata ya baraa Elifasi Ndetika akizungumzia  uamuzi wa kufungiwa kwa shule hiyo  alisema kuwa ni halali kabisa kwani walikuwa na malundano ya muda mrefu baina ya uongozi na walimu lakini walishindwa kumaliza wenyewe huku akidai kuwa mazingira yalikuwa hayadhirishi na hivyo kupitia usimamishaji huo unaweza kupelekea marekebisho yakawepo.




Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: HALMASHAURI YAIFUNGIA KWA MUDA USIOJULIKANA SHULE YA MSINGI HAZINA MISION KWA KUTOKUWA NA VIWANGO VYA UANDIKISHAJ
HALMASHAURI YAIFUNGIA KWA MUDA USIOJULIKANA SHULE YA MSINGI HAZINA MISION KWA KUTOKUWA NA VIWANGO VYA UANDIKISHAJ
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiBiztVNRD7St7Wnlu2cWZbaHxrp1OabbiFOQ0xKVaFscJABczVPD6_k9LsSBe9d63_IPvQCqbikLmH11iLmaWZOGViR2dS4D8_DBiF8OLIIf3gjekh5JhRwElMZgbvJ7SdZS68uXSpdBBV/s1600/New-Picture.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiBiztVNRD7St7Wnlu2cWZbaHxrp1OabbiFOQ0xKVaFscJABczVPD6_k9LsSBe9d63_IPvQCqbikLmH11iLmaWZOGViR2dS4D8_DBiF8OLIIf3gjekh5JhRwElMZgbvJ7SdZS68uXSpdBBV/s72-c/New-Picture.png
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/halmashauri-yaifungia-kwa-muda.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/halmashauri-yaifungia-kwa-muda.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy