Mtaalam Mwelekezi wa Afyabando-Nordic Foundation Tanzania, Dkt. Respicius Salvatory akimkabidhi mshindi wa Afyabando, Editha Ngure katika hafla ya kuwakabidhi washindi wa bima za afya za matibabu uliofanyika Dar es Salaam leo Septemba 29, 2017. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Zurich Insurance/Jubilee Insurance Sudi Simba.
Mtaalam Mwelekezi wa Afyabando-Nordic Foundation Tanzania, Dkt. Respicius Salvatory akimkabidhi mshindi wa Afyabando, Editha Ngure katika hafla ya kuwakabidhi washindi wa bima za afya za matibabu uliofanyika Dar es Salaam leo Septemba 29, 2017. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Zurich Insurance/Jubilee Insurance Sudi Simba.
Mtaalam Mwelekezi wa Afyabando-Nordic Foundation Tanzania, Dkt. Respicius Salvatory akimkabidhi mshindi wa Afyabando, Jackline Mwasha kadi ya Bima ya afya katika hafla ya kuwakabidhi washindi wa bima za afya za matibabu uliofanyika Dar es Salaam leo Septemba 29, 2017. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Zurich Insurance/Jubilee Insurance Sudi Simba.
Mtaalam Mwelekezi wa Afyabando-Nordic Foundation Tanzania, Dkt. Respicius Salvatory akimkabidhi mshindi wa Afyabando, Edward Kasidi kadi ya Bima ya afya katika hafla ya kuwakabidhi washindi wa bima za afya za matibabu uliofanyika Dar es Salaam leo Septemba 29, 2017. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Zurich Insurance/Jubilee Insurance Sudi Simba.
Mtaalam Mwelekezi wa Afyabando-Nordic Foundation Tanzania, Dkt. Respicius Salvatory akimkabidhi mshindi wa Afyabando, Happyness Lungu na Mme wake Dennis Lungu kadi za Bima ya afya katika hafla ya kuwakabidhi washindi wa bima za afya za matibabu uliofanyika Dar es Salaam leo Septemba 29, 2017. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Zurich Insurance/Jubilee Insurance Sudi Simba.
Mtaalam Mwelekezi wa Afyabando-Nordic Foundation Tanzania, Dkt. Respicius Salvatory akimkabidhi mshindi wa Afyabando, Happy Mongi katika hafla ya kuwakabidhi washindi wa bima za afya za matibabu uliofanyika Dar es Salaam leo Septemba 29, 2017. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Zurich Insurance/Jubilee Insurance Sudi Simba.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Zurich Insurance/Jubilee Insurance Sudi Simba (kushoto) akiwa katika picha ya pmaoja na washindi wa 'Afyabando' wakati wa hafla ya kuwakabidhi kadi za bima ya afya jijini Dar es Salaam leo Septemba 29 2017. Bima hiyo yenye thamani ya shilingi 174,000 inaweza kuhudumia familia yenye watu wanne kwa mwaka mzima. Kulia ni wawakilishi wa 'Afyabando' Nordic Foundation Tanzania na Ofisa wa AfyaWote wa Zurich Insurance Brokers Julieth Hanji.(Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs)
Loaded All PostsNot found any postsVIEW ALLReadmoreReplyCancel replyDeleteByHomePAGESPOSTSView AllRECOMMENDED FOR YOULABELARCHIVESEARCHALL POSTSNot found any post match with your requestBack HomeSundayMondayTuesdayWednesdayThursdayFridaySaturdaySunMonTueWedThuFriSatJanuaryFebruaryMarchAprilMayJuneJulyAugustSeptemberOctoberNovemberDecemberJanFebMarAprMayJunJulAugSepOctNovDecjust now1 minute ago$$1$$ minutes ago1 hour ago$$1$$ hours agoYesterday$$1$$ days ago$$1$$ weeks agomore than 5 weeks agoFollowersFollowTHIS CONTENT IS PREMIUMPlease share to unlockCopy All CodeSelect All CodeAll codes were copied to your clipboardCan not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy
COMMENTS