MAMIA WAFUNGULIWA KWENYE MKUTANO MKUBWA WA INJILI JIJINI MWANZA
HomeJamii

MAMIA WAFUNGULIWA KWENYE MKUTANO MKUBWA WA INJILI JIJINI MWANZA

 Na George Binagi-GB Pazzo Wakazi wa Jiji la Mwanza wakiwemo waumini wa dini mbalimbali wameendelea kujitokeza kwa wingi kwenye mkuta...

MTANZANIA VICTORIA MWANZIVA ASHIRIKI KOZI MAALUM YA WANAWAKE KWA AJILI YA KUDUMISHA AMANI BARANI AFRI KA, ADDIS ABABA ETHIOPIA.
BALOZI SEIF ALI IDDI AKAGUA ENEO LILIOMBWA NA WANANCHI KWA SHUGHULI ZA KIJAMII
SSRA YATOA MSAADA WA CHAKULA NA VIFAA VYA USAFI KATIKA KITUO CHA KULELEA WAZEE CHA FUNGAFUNGA MKOANI MOROGORO

 Na George Binagi-GB Pazzo

Wakazi wa Jiji la Mwanza wakiwemo waumini wa dini mbalimbali wameendelea kujitokeza kwa
wingi kwenye mkutano mkubwa wa injili ulioandaliwa na kanisa la kanisa EAGT
Lumala Mpya chini ya Mchungaji Dkt. Daniel Moses Kukola.

Jana mamia ya wananchi walijitokeza kwenye mkutano huo unaofanyika kwenye uwanja wa
Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza na kukutana na mlipuko mkubwa wa injili kutoka kwa watumishi wa Mungu akiwemo mwinjilisti Rojas Matias kutoka Marekani chini ya huduma ya MORE International Ministry.

Aidha waimbaji
Ambwene Mwasongwe, Mbilikimo Watatu, Samwel Lusekelo, Joseph Rwiza, Sam D,
Havillah Gospel Singers na wengine wengi wameendelea kukonga nyoyo za
wahudhuriaji kwenye mkutano huo.

“Maandalizi ya mkutano huu ni ya kuvutia, tuna majukwaa matatu makubwa, vyombo vya muziki wa
injili vizuri na pia tunatoa zawadi mbalimbali ikiwemo vyakula na nguo kwa
wanaohudhuria mkutano huu”. Alisema Mchungaji Dkt. Kulola na kuwahimiza watu
wote kufika kwenye mkutano huo ili wakutane na nguvu ya Mungu na kufunguliwa.



Mkutano huo ulianza juzi jumatano Septemba 27 na utafikia tamati Jumapili Oktoba Mosi, 2017
katika Uwanja wa Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza ambapo mamia ya wananchi
waliokuwa wakiteswa na majini pamoja na magonjwa mbalimbali wanazidi kufunguliwa,
na leo huduma ya maombezi inaanza mapema majira ya saa nne asubuhi na mkutano
utaanza saa tisa alasiri hadi saa 12 jioni.


Mwinjilisti Rojas Matias kutoka Marekani akihubiri kwenye mkutano huo.

Watumishi mbalimbali wakiendelea kutoa huduma ya maombezi jana ambapo zaidi ya 20 walifunguliwa mapepo huku wengine wengi wakiponywa magonjwa mbalimbali.

Mwimbaji wa muziki wa injili Ambwene Mwasongwe kutoka Dar es Salaam akihudumu kwenye mkutano ho
Baada ya ibada, kanisa la EAGT Lumala Mpya kwa kushirikiana na wachungaji kutoka Marekani lilitoa zawadi kwa wananchi.

Tazama picha zaidi HAPA
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAMIA WAFUNGULIWA KWENYE MKUTANO MKUBWA WA INJILI JIJINI MWANZA
MAMIA WAFUNGULIWA KWENYE MKUTANO MKUBWA WA INJILI JIJINI MWANZA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiaB78iyrBMTQQpSH5WzB62OaHXnS50wDkGJj3DDpaZhgXW33FhEkrh1iCWtiqV6tSLzsI7DcLyxJhQA8A2iRYkbSCj-y_i8I4ZaTrrvMto8LhOV2T0xRRYoFzSJ-d-Z-u0yrwt9AUCp_U/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiaB78iyrBMTQQpSH5WzB62OaHXnS50wDkGJj3DDpaZhgXW33FhEkrh1iCWtiqV6tSLzsI7DcLyxJhQA8A2iRYkbSCj-y_i8I4ZaTrrvMto8LhOV2T0xRRYoFzSJ-d-Z-u0yrwt9AUCp_U/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/mamia-wafunguliwa-kwenye-mkutano-mkubwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/mamia-wafunguliwa-kwenye-mkutano-mkubwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy