SSRA YATOA MSAADA WA CHAKULA NA VIFAA VYA USAFI KATIKA KITUO CHA KULELEA WAZEE CHA FUNGAFUNGA MKOANI MOROGORO
HomeJamii

SSRA YATOA MSAADA WA CHAKULA NA VIFAA VYA USAFI KATIKA KITUO CHA KULELEA WAZEE CHA FUNGAFUNGA MKOANI MOROGORO

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), B...

BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA UBUNGO LAPITISHA KWA 100% BAJETI YA ZAIDI YA BILIONI MIA MOJA
SHEREHE YA KUUAGA MWAKA 2016 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2017 PAMOJA NA KUAGA WASTAAFU WA JESHI LA POLISI SHINYANGA
RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA GATI NAMBA 2 KATIKA BANDARI YA MTWARA PIA AFUNGUA JENGO LA KITUO CHA KIBIASHARA CHA BENKI YA NMB MTWARA





SSRA YATOA MSAADA WA CHAKULA NA VIFAA VYA USAFI KATIKA KITUO CHA KULELEA WAZEE CHA FUNGAFUNGA MKOANI MOROGORO
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika (wa tatu kushoto), akizungumza na wazee wa Kituo cha kulelea wazee cha Fungafunga mkoani Morogoro wakati alipofika kituoni hapo kutoa msaada wa vitu mbaimbali vyakula, vifaa vya usafi, nguo pamoja na sabuni za kufulia.
 
 
Afisa Uhusiano wa mamlaka hiyo, Bw. Ally Masaninga, wakigawa mifuko yenye vyakula kwa wazee wanaolelewa katika kituo cha Fungafunga Mkoani Morogoro.
 
 
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Bi. Sarah Kibonde (kushoto) akimkabidhi fulana Afisa Mfawidhi wa Kituo cha kulelea wazee cha Fungafunga, Bi. Yolanda Komba wakati SSRA ilipotembelea kituo hicho hivi karibu. 
 
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Bi. Sarah KibondeMsika(kushoto) akimkabidhi fulana Afisa Msaidizi Mfawidhi wa Kituo cha kulelea wazee cha Fungafunga Bw Rahid Omary wakati wa ziara ya SSRA katika kituo hicho. 
 
 
Baadhi ya wazee wanaolelewa na kituo cha wazee cha Fungafunga, wakiwa wamekusanyika kwenye viwanja vya kituo hicho, kusubiri kugawiwa vyakula na vitu mbalimbali vilivyotolewa msaada na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), hivi karibuni. 
 
 
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Bi. Sarah Kibonde Msika (katikati), akionyesha baadhi ya vitu vilivyotolewa na SSRA kwa wazee wanaolelewa na kituo cha Fungafunga cha Morogoro. 
 
 
Afisa wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bw. Ally Masaninga, akimkabidhi sabuni kwa mmoja ya wazee wanaolelewa na kituo cha Fungafunga cha Morogoro. 
 
 
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Bi. Sarah Kibonde Msika (wa nne kutoka kulia waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wazee wanaolelewa na kituo cha Fungafunga cha Morogoro, mara baada ya kuwakabidhi msaada wa vyakula, vifaa vya usafi na sabuni za kufulia. 
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika, akizungumza na wazee wa kituo cha Fungafunga, mara baada ya kukabidhi msaada wa chakula na vifaa vya usafi katika kituo hicho Mkoani Morogoro hivi karibuni.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SSRA YATOA MSAADA WA CHAKULA NA VIFAA VYA USAFI KATIKA KITUO CHA KULELEA WAZEE CHA FUNGAFUNGA MKOANI MOROGORO
SSRA YATOA MSAADA WA CHAKULA NA VIFAA VYA USAFI KATIKA KITUO CHA KULELEA WAZEE CHA FUNGAFUNGA MKOANI MOROGORO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUVcHHEMbE3ZEgbcomNPd4M4LxQPgAwDptxxvvxNGciYUfLom4EyqpkBPmTqTdZRVvZkqbhBXGW0xUw8a02taNvmGRn823yxTl8LqSPGv1K2pZ2DIX9Kn1R0OMf72YU2TSEIUMPxmFj2E/s640/P+1.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUVcHHEMbE3ZEgbcomNPd4M4LxQPgAwDptxxvvxNGciYUfLom4EyqpkBPmTqTdZRVvZkqbhBXGW0xUw8a02taNvmGRn823yxTl8LqSPGv1K2pZ2DIX9Kn1R0OMf72YU2TSEIUMPxmFj2E/s72-c/P+1.PNG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/ssra-yatoa-msaada-wa-chakula-na-vifaa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/ssra-yatoa-msaada-wa-chakula-na-vifaa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy