Kaimu Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lucas Mkondya (wa pili kushoto) akiwa na waandishi. ...
Kaimu Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lucas Mkondya (wa pili kushoto) akiwa na waandishi.
Mkuu
wa kitengo cha mawasiliano Leila Muhaji akizungumza na waandishi wa
habari kuhusu wizi huo wa vifaa vya umeme vyenye thamani ya milioni 61
na kukamatwa,Kulia ni Kaimu Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es
Salaam, Lucas Mkondya.
Kaimu
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Lucas Mkondya.(wa pili
kushoto) akiwa na waandishi na walinzi wa Tanesco.
Kaimu Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lucas Mkondya (wa pili kushoto) akiwa na waandishi.
Gari la Tanesco likiwa na shehena ya vifaa vilivyoibwa Kikuu cha Polisi Dar es Salaam.
Gari la Tanesco likiwa na shehena ya vifaa vilivyoibwa Kikuu cha Polisi Dar es Salaam.
jioni
maeneo ya Salasala Mkoa wa Kipolisi Kinondoni Polisi wakishirikiana na
Kikosi kazi cha kuzuia uharibifu wa miondo mbinu ya Shirika la umeme
Tanzania Tanesco lilipata taarifa toka kwa raia mwema kuwa kuna watu
wanaohujumu miundo mbinu ya Shirika hilo.
Kikosi
hicho kilifika eneo hilo katika nyumba ya Willfred Barutti (45) mkazi
wa Makumbusho na kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ambapo walivipata
vifaa mbalimbali Line Meterial ambavyo hutumika kwa ajili ya kuunganisha
umeme vya Kampuni ya Tanesco.Polisi walikwenda katika nyumba nyingine
mali ya Betrice Emmanuel (42) mkazi wa Salasala Mabanda wakafanya
upekuzi na kufanikiwa kukamata vifaa vifuatavyo;
Nyaya
aina ya Drums'02,roller ya waya aina ya AICC ya umeme wa 50 mm ambazo
hutumiwa na tanesco kituo cha Kilimahewa huko Kawe Wilaya ya Kinondoni.
Thamani
ya vifaa hivyo vinakadiliwa kuwa Tsh.61,000,000,Watuhumiwa wawili
wanashikiliwa kwa mahojiano na Upelelezi utakapokamilika watapelekwa
mahakamani kwa hatua za kisheria.
COMMENTS