Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu akipewa ushauri na Mtaalam wa magonjwa ya Saratani ya matiti w...
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu akipewa ushauri na Mtaalam wa magonjwa ya Saratani ya matiti wa hospitali
ya AAR Dkt. Zacharia Kabona wakati wa zoezi la kuwapima ugonjwa huo wafanyakazi
wa kampuni hiyo uliofanyika makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City leo Oktoba 25, 2016
jijinji Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa saratani ya
matiti duniani.
Wafanyakazi
wa Vodacom Tanzania wakipewa ushauri na Mtaalam wa magonjwa ya Saratani ya
matiti wa hospitali ya AAR Dkt. Zacharia Kabona,(kulia) wakati wa zoezi
la upimaji wa ugonjwa huo kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo
uliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City leo jijinji Dar es Salaam,
ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa saratani ya matiti duniani.
Wafanyakazi
wa Vodacom Tanzania , wakimsikiliza kwa makini Meneja wa mauzo Happiness Shuma
alipokuwa akitoa mada kuhusiana na elimu ya ugonjwa wa saratani ya matiti,
wakati wa zoezi la kuwapima wafanyakazi wa kampuni hiyo lililofanyika makao
makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani city jijini Dar es Salaam,ikiwa ni
sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa saratani duniani.
Meneja wa mauzo Happiness Shuma akitoa mada kuhusiana na elimu ya ugonjwa wa saratani ya matiti,
wakati wa zoezi la kuwapima wafanyakazi wa kampuni hiyo lililofanyika makao
makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani city jijini Dar es Salaam, ikiwa ni
sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa saratani duniani.
COMMENTS