WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI MHANDISI ISACK KAMWELE ATEMBELEA MIRADI YA DAWASA YA UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA MAJI
HomeJamii

WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI MHANDISI ISACK KAMWELE ATEMBELEA MIRADI YA DAWASA YA UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA MAJI

  Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwele, akiteremka kutoka juu ya tenki la maji linalojengwa huko Mabwepande nje kidogo...

TAARIFA YA SPIKA WAKATI WA KUAHIRISHA BUNGE
TFC YAANZA KUKUSANYA TAARIFA ZA WANACHAMA WAKE WA USHIRIKA KUBORESHA KANZIDATA
DODOMA, SINGIDA KUTUMIA KILIMO CHA UMWAGILIAJI IFIKAPO 2019

 Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwele, akiteremka kutoka juu ya tenki la maji linalojengwa huko Mabwepande nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, leo Disemba 5, 2017, wakati wa ziara yake ya siku mbili kukagua miradi ya maji inayoendeshwa na DAWASA




NA
K-VIS BLOG/Khalfan Said


WAZIRI
wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwele, ameanza ziara ya siku mbili ya
kukagua baadhi ya miradi inayosimamiwa na Mamlaka ya Maji  Safi na Maji Taka, (DAWASA), jijini Dar es
Salaam, Desemba 5, 2017.
Katika
siku yake ya kwanza ya ziara hiyo, Waziri alitembelea Mradi wa Uboreshaji Mfumo
wa Usambazaji maji ambapo kazi zinazofanyika chini ya mradi huo ni pamoja na
ujenzi wa matenki tisa (9) ya kuhifadhi na kusambaza maji  yenye ukubwa wa kuhifadhi lita milioni 3.0 hadi
milioni 6.0, lakini pia ujenzi wa vituo vine(4) vya kusukuma maji, ununuzi na
ufungaji wa pampu kubwa 16 za kusukuma maji, ununuzi wa transfoma  na ufungaji njia za umeme wa msongo mkubwa,
ununuzi na ulazaji wa mabomba makubwa ya ugawaji maji na ulazaji wa mabomba ya
usambazaji maji yatakayokuwa na urefu wa kilomita 477.
Mradi
huu utanufaisha maeneo ya Salasala, Bunju, Wazo, Makongo, Changanyikeni ,
Bagamoyo, Mpiji, Zinga, Kiromo,Kitopeni, Ukuni, Kerege, Buma, Mataya na ukanda
maalum wa EPZA ambayo ni maeneo yanayohudumiwa na mtambo wa maji wa Ruvu Chini.
Aidha
maeneo mengine yatakayonufaika na mradi huu ni yale yaliyopo kati ya Mbezi
Louis, Kiluvya, Kibamba,Mbezi, Makuzi, Makabe, Malamba mawili na Msigani. Maeneo yote haya hupata huduma kutoka Mtambo wa Ruvu Juu ambao ulizinduliwa na Mhe. Rais wa Jamhurim ya Muungani wa Tanzania Juni 21, 2017.


 Mhandisi Kamwele, mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Romanus Mwang'ingo wakimsikiliza Mkandarasi, wapili kulia), na Mtendaji Mkuu wa DAWASCO, Mhandisi Cyprian Luhemeja wakitembelea eneo la ujenzi wa trenki la kuhifandia maji, Mabwepande nje kidogo ya jijji
 Mhandisi Kamwele akizungumza katika moja ya maeneo aliyotembelea
 Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Romanus Mwang'ingo wakimsikiliza Mkandarasi, akimsikiliza Mkandarasi anayejenga matenki ya kuhifadhia maji kwenye mradi mjuybwa wa kuimarisha miundombinu unaosimamiwa na DAWASA
 Mhe. Waziri Mhandisi Kamwele, (wapili kushoto), Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Romanus Mwang'ingo wakimsikiliza Mkandarasi, 
Mhandisi
P.G. Rajani wa kampuni ya WAPCOS limited ya india




 Mhe. Waziri Kamwele, (kushoto), akiwa na Mhandisi Romanus Mwang'ingo, wakipatiwa maelezo ya utekelezaji wa mradi ya ujenzi wa tenki la maji eneo la Salasala kutoka kwa mkandarasi, Mhandisi P.G. Rajani wa kampuni ya WAPCOS limited ya india
 Mhe. Waziri Kamwele, (kushoto), akifafanua jambo, wakati akipatiwa maelezo na Mkandarasi kutoka kampunin ya India ya WAPCOS, Mhandisi P.G. Rajani
Waziri Mhandisi Isack Kamwele, (kushoto), akiwa na Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Romanus (katikati) na Mtdnaji Mkuu wa DAWASCO, Mhandisi Cyprian Luhemeja.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI MHANDISI ISACK KAMWELE ATEMBELEA MIRADI YA DAWASA YA UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA MAJI
WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI MHANDISI ISACK KAMWELE ATEMBELEA MIRADI YA DAWASA YA UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA MAJI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgywuEjaHVDIY1Bb7FvncP9HVECstBI02z5EgmiMhPjthZ8hlUQFAUeWBf7SS86IW3h0yUL8EBhFTuKqJ8zKFM1W_RfKcBz3Sb3yQSmj2s9O8h4TPu_E9qQZLpNw-Z60CutwMSBqObNO66q/s640/5R5A9579.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgywuEjaHVDIY1Bb7FvncP9HVECstBI02z5EgmiMhPjthZ8hlUQFAUeWBf7SS86IW3h0yUL8EBhFTuKqJ8zKFM1W_RfKcBz3Sb3yQSmj2s9O8h4TPu_E9qQZLpNw-Z60CutwMSBqObNO66q/s72-c/5R5A9579.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/waziri-wa-maji-na-umwagiliaji-mhandisi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/waziri-wa-maji-na-umwagiliaji-mhandisi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy