RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA MTAKATIFU YOSEPH
HomeJamii

RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA MTAKATIFU YOSEPH

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janet Magufuli pamoja na Waumini wengine wakifurahia ma...

WAZIRI MPINA AJA NA MAGEUZI MAKUBWA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI
NAIBU WAZIRI WA AFYA AZINDUA PROGRAMU YA 'UNI LIFE CAMPUS' MUHAS
FANYA HAYA KUFANIKISHA MFUNGO WA RAMADHANI




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janet Magufuli pamoja na Waumini wengine wakifurahia mahubiri kutoka kwa Paroko msaidizi Venance Tegete wa Parokia ya Mtakatifu Yosefu wa misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Yosefu Jijini Dar es Salaam.April 1,2018.





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janet Magufuli wakisalimiana na Paroko msaidizi Venance Tegete wa Parokia ya Mtakatifu Joseph kabla ya misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Joseph Jijini Dar es Salaam April 1,2018.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janet Magufuli pamoja na Waumini wengine wakisikiliza mahubiri kutoka kwa Paroko msaidizi Venance Tegete wa Parokia ya Mtakatifu Joseph wakati wa misa maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Yoseph Jijini Dar es Salaam April 1,2018.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akitoa sadaka ya shukrani, nyuma yake ni mkewe Mama Janet Magufuli wakati wa misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Yoseph Jijini Dar Es Salaam.

Paroko msaidizi Venance Tegete wa Parokia ya Mtakatifu akimkaribisha Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ili kuwasalimia Waumini na Watanzania kwa ujumla wakati wa misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Yoseph Jijini Dar Es Salaam.April 1,2018.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akitoa salamu za Sikukuu ya Pasaka kwa Waumini na Watanzania kwa ujumla wakati wa misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Yoseph Jijini Dar Es Salaam.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akitoa salamu za Sikukuu ya Pasaka kwa Waumini na Watanzania kwa ujumla wakati wa misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Yoseph Jijini Dar Es Salaam.


Rais wa amhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Paroko msaidizi Venance Tegete wa Parokia ya Mtakatifu Joseph baada ya kuhutubia katika misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Yoseph Jijini Dar Es Salaam.







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya Waumini mara baada ya misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Yoseph Jijini Dar Es Salaam.






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Paroko msaidizi Venance Tegete wa Parokia ya Mtakatifu Yoseph wakifuahia jambo mara baada ya misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wa kuwaaga Waumini mbalimbali mara baada ya misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Yoseph Jijini Dar es Salaam.April 1,2018. (PICHA NA IKULU)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA MTAKATIFU YOSEPH
RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA MTAKATIFU YOSEPH
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh9a3KCHrojkH3HCjeF6c3Ep4JjGQ6UkTJVSv_nqtyBe8P62uOb8XfAh1iQ8LIsEwNfMQcQeg8-PdIsp5H3QqZM_d811QJJrP7tGVj23s10TSqApZhfFBAV9_LGWClQ7B8tiRC7rM91ohU/s640/2.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh9a3KCHrojkH3HCjeF6c3Ep4JjGQ6UkTJVSv_nqtyBe8P62uOb8XfAh1iQ8LIsEwNfMQcQeg8-PdIsp5H3QqZM_d811QJJrP7tGVj23s10TSqApZhfFBAV9_LGWClQ7B8tiRC7rM91ohU/s72-c/2.png
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/rais-dkt-magufuli-ashiriki-ibada-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/rais-dkt-magufuli-ashiriki-ibada-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy