TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA KICHWA KIKUBWA NA MGONGO WAZI MOI MUHIMBILI JIJINI DAR
HomeJamii

TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA KICHWA KIKUBWA NA MGONGO WAZI MOI MUHIMBILI JIJINI DAR

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasis i ya Tiba na Mifupa ( M O I), Dkt. Othman Kiloloma akifungua rasmi sherehe za kuadhimisha siku ya mto...

SADC WATOA MAFUNZO KWA MAAFISA WA SERIKALI
MAKAMU WA RAIS APOKEA VIFAA VYA UPASUWAJI WATOTO MNH
RAIS DKT MAGUFULI AFANYA ZIARA YA GHAFLA BANDARINI DAR ES SALAAM KUKAGUA MATANKI YA MAFUTA YA KUL






Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba na Mifupa (MOI), Dkt. Othman Kilolomaakifungua rasmi sherehe za kuadhimisha siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na Mgongo wazi Duniani,ambapo alisema wanakazi kubwa ya kutoa matibabu kwa watoto wenye matatizo ya mtindio wa ubongo na mifupa na mpaka sasa watoto takribani 202 wameshafanyiwa upasuaji na zoezi linaendelea Nchi nzima. 

Mwenyekiti wa chama cha wazazi wenye watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi Bw. Hakim ambaye nae mtoto wake anamatatizo kama hayo akielezea  kuwa kuna umuhimu wa kutoa elimu kwa kuwa watu wengi wanahusisha tatizo hilo na imani potofu, aliongeza kuwa watoto waliofanyiwa upasuaji mkoa wa Mbeya ni 18, Morogoro 12, Mwanza 50, na Izazi 14. na wamefanikiwa kuokoa Maisha ya watoto 185 katika mikoa 16 Tanzania.

Meneja wa Nakiete akitoa neno wakati wa Maadhimisho hayo.
Mmoja wa wazazi akiwa na Mwanae mwenye tatizo la Kichwa kikubwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba na Mifupa (MOI), Dkt. Othman Kiloloma (kushoto) akipokea msaada kutoka duka la madawa la Nakiete.
Madam Sophia Mbeyela akitoa msaada kwa watoto hao.


Baadhi ya wazazi wakiwa na watoto wao wenye vichwa vikubwa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba na Mifupa (MOI), Dkt. Othman Kiloloma (katikati) akipokea Msaada viti 15 vya kutembelea 'wheel chair' watoto kutoka kwa Mohamed Punjan Foundation.

Baadhi ya wauguzi wakiwa katika maadhimisho hayo.

Baadhi ya wazazi na walezi na wazazi wenye kichwa kikubwa na Mgongo wazi wakiwa katika maadhimisho hayo.
(Picha zote na Fredy Njeje)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA KICHWA KIKUBWA NA MGONGO WAZI MOI MUHIMBILI JIJINI DAR
TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA KICHWA KIKUBWA NA MGONGO WAZI MOI MUHIMBILI JIJINI DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUqU6q6kxxK2Oh8HdxkuLTkxLdFyGzgRmr71cN9qw158dUdhTTu06JGXVkMiyw8VBzv83wQfR4WiC3pjNhLnTLlMjsjssNGGDgzPPp02-k3yzxIQPXwaF7OxxMBHqFsEI2zVMT1j-5uOs7/s640/3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUqU6q6kxxK2Oh8HdxkuLTkxLdFyGzgRmr71cN9qw158dUdhTTu06JGXVkMiyw8VBzv83wQfR4WiC3pjNhLnTLlMjsjssNGGDgzPPp02-k3yzxIQPXwaF7OxxMBHqFsEI2zVMT1j-5uOs7/s72-c/3.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/10/tanzania-yaadhimisha-siku-ya-mtoto-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/tanzania-yaadhimisha-siku-ya-mtoto-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy