MAHAFALI YA 13 YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI BWAWANI YAFANA MKOANI PWANI
HomeJamii

MAHAFALI YA 13 YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI BWAWANI YAFANA MKOANI PWANI

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Mhe. Balozi Hassan Simba Yahya akisalimiana na mmoja wa wazazi alipowasil...





MAHAFALI YA 13 YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI BWAWANI YAFANA MKOANI PWANI
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Mhe. Balozi Hassan Simba Yahya akisalimiana na mmoja wa wazazi alipowasili katika viwanja vya Shule ya Sekondari Bwawani kushiriki Mahafali ya 13 ya Shule hiyo. 
 
 
 
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Mhe. Balozi Hassan Simba Yahya akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa Kidato cha nne katika Mahafali ya 13 ya Shule ya Sekondari Bwawani, Mkoani Pwani. 
 
 
Kamishna Jenerali wa Magereza, CGP- John Casmir Minja akitoa maelezo mafupi kabla ya hotuba ya Mgeni rasmi. 
 
 
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Mhe. Balozi Hassan Simba Yahya akitoa neno kwa wahitimu katika Mahafali ya 13 ya Shule ya Sekondari Bwawani, Mkoani Pwani. 
 
 
Wahitimu wa Kidato cha Nne wakitoa burudani ya Wimbo Maalum wa Shule hiyo. 
 
 
Meza Kuu wakiimba wimbo wa Shule ya Sekondari Bwawani kama wanavyoonekana katika picha. 
 
 
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Mhe. Balozi Hassan Simba Yahya akizindua rasmi Bweni la Wasichana katika Shule ya Sekondari Bwawani wakati wa Mahafali ya 13 ya Kidato cha nne.
 
 
Muonekano wa Bweni la Wanawake lililokamilishwa kujengwa tayari kwa matumizi katika Shule ya Sekondari Bwawani, Mkoani Pwani. 
 
 
Muonekano wa ndani wa Bweni la Wanawake lililokamilishwa kujengwa tayari kwa matumizi katika Shule ya Sekondari Bwawani, Mkoani Pwani. 
 
 
Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Mhe. Balozi Hassan Simba Yahya(wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wahitimu wa Kidato cha Nne(waliosimama) katika Mahafali ya Shule ya Sekondari Bwawani(wa pili kulia) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, CGP- John Casmir Minja. (Picha zote na Jeshi la Magereza).
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAHAFALI YA 13 YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI BWAWANI YAFANA MKOANI PWANI
MAHAFALI YA 13 YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI BWAWANI YAFANA MKOANI PWANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6BtkMpI1FRnFrHUxxmCmqcp6_s24Y_DEMQhBP51QR1sN3nqtztMLlOqD5Ikl0FRVvmf-slg0Ns4ghR46g9jich59NDfmrQo6l1Cjj9ujfY4SSCjS9EvPWltiy1wD8-BVCwuKA0hxkNJEs/s640/PIX+1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6BtkMpI1FRnFrHUxxmCmqcp6_s24Y_DEMQhBP51QR1sN3nqtztMLlOqD5Ikl0FRVvmf-slg0Ns4ghR46g9jich59NDfmrQo6l1Cjj9ujfY4SSCjS9EvPWltiy1wD8-BVCwuKA0hxkNJEs/s72-c/PIX+1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/10/mahafali-ya-13-ya-kidato-cha-nne-shule.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/mahafali-ya-13-ya-kidato-cha-nne-shule.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy