NHIF TANGA WAENDELEA KUHAMASISHA MPANGO WA TOTO AFYA KADI KWA WAKAZI WA JIJI LA TANGA

 Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani kushoto akitoa elimu ya mpango wa Toto Afya ...





 Afisa Matekelezo wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani kushoto akitoa
elimu ya mpango wa Toto Afya kadi kupitia kipeperusi kwa mmoja wa
wananchi waliotembelea banda lao kwenye viwanja vya Tangamano ambapo
walikuwa wakihamasisha mpango wa Toto Afya kadi
 Afisa Matekelezo wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani kushoto akitoa
elimu ya mpango wa Toto Afya kadi kwa mmoja wa wananchi waliotembelea
banda lao kwenye viwanja vya Tangamano ambapo walikuwa waki hamasisha
mpango wa Toto Afya kadi
 Afisa Matekelezo wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani kushoto
akimsikiliza kwa umakini  mmoja wa wananchi waliotembelea banda lao
kwenye viwanja vya Tangamano ambapo walikuwa wakihamasisha mpango wa
Toto Afya kadi
 Mmoja kati ya wakazi wa Jiji la
Tanga katikati akimsikiliza kwa umakini afisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya Mkoani Tanga kuhusu umuhimu wa mpango wa Toto Afya kadi
 
  Afisa Matekelezo wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani kulia akitoa
elimu ya namna ya kujiunga na mpango wa Toto Afya kadi kwa watoto mkazi
mmoja wa Jiji la Tanga ambaye aliwatembelea kwenye banda lao eneo la
Tangamano
Sehemu ya wananchi wa Jiji la
Tanga wakiingia kwenye banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)
wakati mfuko huo ulipokuwa ukihamasisha umuhimu wa wazazi na walezi
kuwaingiza watoto wao kwenye mpango wa Toto Afya Kadi ili waweze
kunufaika na matibabu zoezi hilo lilifanyika kwenye viwanja vya
Tangamano(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NHIF TANGA WAENDELEA KUHAMASISHA MPANGO WA TOTO AFYA KADI KWA WAKAZI WA JIJI LA TANGA
NHIF TANGA WAENDELEA KUHAMASISHA MPANGO WA TOTO AFYA KADI KWA WAKAZI WA JIJI LA TANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjqTL9tFFGdHDwBMpYQvz7cS4AVfVEJG1o_d-LbBNaLX-2GiHPNorLhSnb3JbXFL_lPcuhyphenhyphenJMhx-4FuFD_ni0kniUBa0iYMu6iy6sV1_WlruiOpYgUXnk5rGa-8oQvLQ7x3PbyPS2fqUFrG/s640/2.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjqTL9tFFGdHDwBMpYQvz7cS4AVfVEJG1o_d-LbBNaLX-2GiHPNorLhSnb3JbXFL_lPcuhyphenhyphenJMhx-4FuFD_ni0kniUBa0iYMu6iy6sV1_WlruiOpYgUXnk5rGa-8oQvLQ7x3PbyPS2fqUFrG/s72-c/2.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/nhif-tanga-waendelea-kuhamasisha-mpango.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/nhif-tanga-waendelea-kuhamasisha-mpango.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy