KIKOSI KAZI CHA KITAIFA CHA MPANGO WA SERIKALI KUHAMIA DODOMA CHATEMBELEA ENEO LITAKALOJENGWA BWAWA LA FARKWA CHEMBA
Mhandisi wa Maji Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Annali Mwahalende akitoa maelezo kuhusu eneo la Farkwa linalotarajiwa kujengwa bwawa la kuhifadhia maji kwa Kikosi kazi cha kuratibu Mpango wa Serikali kuhamia Dodoma kinachoratibiwa na Idara ya Uratibu wa shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu.
HomeJamii

KIKOSI KAZI CHA KITAIFA CHA MPANGO WA SERIKALI KUHAMIA DODOMA CHATEMBELEA ENEO LITAKALOJENGWA BWAWA LA FARKWA CHEMBA

Mhandisi wa Maji Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Annali Mwahalende akitoa maelezo kuhusu eneo la Farkwa linalotarajiwa kujengwa bwawa la...

SPORTPESA WAMPA CHETI CHA SHUKRANI MAKAMU WA RAIS
SPIKA NDUGAI ASHUHUDIA DKT. KASHILILAH AKIMKABIDHI OFISI KATIBU MPYA WA BUNGE KIGAIGAI
UFAFANUZI KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME KUANZIA TAREHE 25 - 26 OKTOBA, 2017

Katibu wa Kikosi kazi cha Kitaifa cha kuratibu Mpango wa Serikali kuhamia Dodoma Bw. Meshach Bandawe akiweka sahihi katika kitabu cha wageni walipotembelea eneo la Farkwa ambapo linatarajiwa kujengwa Bwawa la kuhifadhia maji katika Kijiji cha Mombose kata Farkwa Wilaya ya Chemba Dodoma Juni 6, 2018.

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya kuratibu mpango wa Serikali kuhamia Dodoma wakiwa katika eneo la Farkwa linalotarajiwa kujengwa bwawa la kuhifadhia maji walipotembelea kukagua eneo hilo Wilayani Chema Jijini Dodoma.

Katibu wa Kikosi kazi cha Kitaifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali kuhamia Dodoma Bw. Meshach Bandawe akipata maelezo ya eneo la Farkwa kutoka kwa Mtendaji wa Kata ya Farkwa Bw. John Wenga walipotembelea kukagua eneo hilo linalotarajiwa kujengwa bwawa la kuhifadhia maji Wilayani Chemba Mkoani Dodoma.


Katibu wa Kikosi kazi cha Kitaifa cha kuratibu Mpango wa Serikali kuhamia Dodoma Bw. Meshach Bandawe akipata maelezo ya eneo la Farkwa kutoka kwa Mtendaji wa Kata ya Farkwa Bw.John Wenga walipotembelea kukagua eneo hilo linalotarajiwa kujengwa bwawa la kuhifadhia maji Wilayani Chemba Mkoani Dodoma.

Muonekano wa Mto wa Mombose Unaotarajiwa kukusanya maji kwa ajili ya Bwawa la Farkwa litakalojengwa Wilayani Chemba Mkoani Dodoma. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU - DODOMA)



Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KIKOSI KAZI CHA KITAIFA CHA MPANGO WA SERIKALI KUHAMIA DODOMA CHATEMBELEA ENEO LITAKALOJENGWA BWAWA LA FARKWA CHEMBA
KIKOSI KAZI CHA KITAIFA CHA MPANGO WA SERIKALI KUHAMIA DODOMA CHATEMBELEA ENEO LITAKALOJENGWA BWAWA LA FARKWA CHEMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiidPmyteH6IocISA0U9Et3CKS4aIiqyW7bO-b5jWxo9ahvOinAhcWDUzsjglNW9PBY1WsL6_meQ7PxmVmyKEJLNGWXUuEvUZwHpzKKKJAFOjlEM7Q4X_Q9mQobmlOA1ehyYVWP9fbRn-E/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiidPmyteH6IocISA0U9Et3CKS4aIiqyW7bO-b5jWxo9ahvOinAhcWDUzsjglNW9PBY1WsL6_meQ7PxmVmyKEJLNGWXUuEvUZwHpzKKKJAFOjlEM7Q4X_Q9mQobmlOA1ehyYVWP9fbRn-E/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/06/kikosi-kazi-cha-kitaifa-cha-mpango-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/06/kikosi-kazi-cha-kitaifa-cha-mpango-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy