Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea cheti cha shukrani toka kwa Mtendaji Mkuu wa Sportpesa Kenya Bw. Ronald Karauri, Sportpesa imetoa Cheti cha Shukrani kwa Makamu wa Rais kwa ushiriki wake wakati wa ujio wa timu ya Everton nchini ambao umechangia kuitangaza nchi kwenye michezo na utalii duniani, Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji Sportpesa Tanzania Bw. Abbas Tarimba (katikati), afisa Uhusiano Sportpesa Tanzania,Bi. Sabrina Msuya wa pili kulia na Mkuu wa Operesheni Sportpesa Tanzania Bw. Lucas Neghesti wa pili kushoto. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amepokea Cheti cha Shukrani kutoka kwa SportPesa kutokana na mchango ushiriki wake wakati wa Ziara ya Everton nchini, akizungumza wakati wa makabidhiano hayo Bw. Abbas Tarimba amesema mara baada ya ziara ya Everton jina la nchi yetu limekuwa likizungumzwa kila mahala duniani.
Makamu wa Rais alisema ni jukumu la kila kiongozi Tanzania kuhakikisha nchi inapiga hatua katika kila sekta hivyo ushiriki wao katika mambo ya msingi yatasaidia nchi kukua na kuiletea maendeleo.​
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea cheti cha shukrani toka kwa Mtendaji Mkuu wa Sportpesa Kenya Bw. Ronald Karauri, Sportpesa imetoa Cheti cha Shukrani kwa Makamu wa Rais kwa ushiriki wake wakati wa ujio wa timu ya Everton nchini ambao umechangia kuitangaza nchi kwenye michezo na utalii duniani, Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji Sportpesa Tanzania Bw. Abbas Tarimba (katikati), afisa Uhusiano Sportpesa Tanzania,Bi. Sabrina Msuya wa pili kulia na Mkuu wa Operesheni Sportpesa Tanzania Bw. Lucas Neghesti wa pili kushoto. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Sportpesa Kenya Bw. Ronald Karauri (kushoto) Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji Sportpesa Tanzania Bw. Abbas Tarimba (kulia), afisa Uhusiano Sportpesa Tanzania,Bi. Sabrina Msuya wa pili kulia na Mkuu wa Operesheni Sportpesa Tanzania Bw. Lucas Neghesti wa pili kushoto ambao walimkabidhi Makamu wa Rais Cheti cha Shukrani kwa ushiriki wake wakati wa ujio wa timu ya Everton nchini ambao umehamasisha michezo na utalii. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Loaded All PostsNot found any postsVIEW ALLReadmoreReplyCancel replyDeleteByHomePAGESPOSTSView AllRECOMMENDED FOR YOULABELARCHIVESEARCHALL POSTSNot found any post match with your requestBack HomeSundayMondayTuesdayWednesdayThursdayFridaySaturdaySunMonTueWedThuFriSatJanuaryFebruaryMarchAprilMayJuneJulyAugustSeptemberOctoberNovemberDecemberJanFebMarAprMayJunJulAugSepOctNovDecjust now1 minute ago$$1$$ minutes ago1 hour ago$$1$$ hours agoYesterday$$1$$ days ago$$1$$ weeks agomore than 5 weeks agoFollowersFollowTHIS CONTENT IS PREMIUMPlease share to unlockCopy All CodeSelect All CodeAll codes were copied to your clipboardCan not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy
COMMENTS