UFAFANUZI KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME KUANZIA TAREHE 25 - 26 OKTOBA, 2017
HomeJamii

UFAFANUZI KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME KUANZIA TAREHE 25 - 26 OKTOBA, 2017

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA NISHATI TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME KUANZIA TAREHE 25 - 26 OKTOB...

“TAHLISO YAIOMBA HESLB KUHARAKISHA FEDHA ZA WANAFUNZI VYUONI”
FOUR NEW PAPERS ON SOCIAL PROTECTION AND SUSTAINABLE FORESTRY TO BE RELEASED AT EAST AFRICA WORKSHOP
DC HAPI AWAKUMBUSHA WAZAZI WAJIBU WA KUANGALIA "HOMEWORK" ZA WATOTO WAO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA NISHATI



TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME KUANZIA TAREHE 25 - 26 OKTOBA, 2017
Wizara ya Nishati inawaomba radhi wananchi kufuatia katizo la Umeme lililotokea tarehe 25 na 26 Oktoba, 2017 kuanzia saa 12:30 Jioni.
Katizo hilo limesababishwa na kukatika kwa waya (Cable) wa kupeleka Umeme kwenye Geti la kufungulia Maji katika Bwawa la Kidatu linalozalisha Umeme wa kiasi cha megawati  204.
Hitilafu hiyo ilisababisha mtambo wa Kidatu pamoja na mitambo mingine ya kuzalisha Umeme katika sehemu mbalimbali nchini kutoka kwenye Gridi ya Taifa na hivyo kusababisha mikoa yote iliyounganishwa kwenye mfumo wa Gridi hiyo kukosa Umeme.
Serikali imefanya jitihada za kurejesha Umeme kuanzia tarehe 25 Oktoba, 2017, usiku ili kuhakikisha kuwa Umeme unarudi katika hali yake ya kawaida kwa nchi nzima.
Hadi kufikia tarehe 26 Oktoba, 2017, baadhi ya mitambo imeanza kufanya kazi na hivyo maeneo mengi nchini yanapata Umeme.
Aidha, mtambo wa Ubungo II wenye uwezo wa kuzalisha Umeme wa Megawati 129, utaanza kuzalisha Umeme ifikapo tarehe 27 Oktoba, 2017, saa 5:00 asubuhi, hivyo kufanya maeneo yote nchini kupata Umeme.
Hatua za dharura na za muda mrefu zinaendelea kuchukuliwa kuhakikisha tatizo la kukatika kwa Umeme halijirudii. Hatua hizo ni pamoja na kukarabatiwa kwa mitambo yote ya kuzalisha Umeme iliyoharibika ndani ya kipindi cha wiki mbili.
Hatua nyingine ni kukarabati mfumo wa kituo cha kudhibiti mifumo ya Umeme (Grid Control Centre) ili kuweza kufanya kazi kwa ufanisi ikiwemo utoaji wa taarifa mbalimbali za hali ya udhibiti wa mfumo wa Umeme katika Gridi ya Taifa.

Imetolewa na,
NAIBU KATIBU MKUU
WIZARA YA NISHATI
26 Oktoba, 2017

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: UFAFANUZI KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME KUANZIA TAREHE 25 - 26 OKTOBA, 2017
UFAFANUZI KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME KUANZIA TAREHE 25 - 26 OKTOBA, 2017
https://lh5.googleusercontent.com/dj4WwfaH1JN1FWWGRBuC82gBgjG01qvfAMY_mwwNme35ikhUQNYODYHgYhYTSc7jpCKBgdfMPE_eivTtEfg4wAMxsl9HxYnz5WGCvqK_3t8qCBMDfvsSQOfr9qPPsx_AI5cLMhhtSTjgZSr1LQ
https://lh5.googleusercontent.com/dj4WwfaH1JN1FWWGRBuC82gBgjG01qvfAMY_mwwNme35ikhUQNYODYHgYhYTSc7jpCKBgdfMPE_eivTtEfg4wAMxsl9HxYnz5WGCvqK_3t8qCBMDfvsSQOfr9qPPsx_AI5cLMhhtSTjgZSr1LQ=s72-c
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/ufafanuzi-kuhusu-kukatika-kwa-umeme.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/ufafanuzi-kuhusu-kukatika-kwa-umeme.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy