Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na wataalam kutoka Kampuni ya Zhuzhou Locomotive ya nchini China inayojishughulish...
Injinia Mwandamizi wa kampuni ya Zhuzhou Locomotive ya nchini China Ndg. Peng Zhiliang (katikati) akimuonesha Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kulia) mfano wa kichwa cha treni ya mwendokasi wakati walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma. Kushoto ni mwakilishi wa kampuni hiyo barani Afrika Ndg. Manfred Lyoto
|
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na wataalam kutoka Kampuni ya Zhuzhou Locomotive ya nchini China inayojishughulisha na utengenezaji wa mabehewa na vichwa vya treni za Mwendokasi, mara baada ya kuzungumza nao mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Wakwanza kulia ni Mhe. Stansalaus Mabula (Mb) ambaye alikuwa mwenyeji wa Wageni hao. (PICHA NA BUNGE)
|
COMMENTS