WAZIRI MKUU MAJALIWA "AIVUNJA NGOME" YA CUF KATA YA NKOWE, JIMBO LA RUANGWA
HomeJamii

WAZIRI MKUU MAJALIWA "AIVUNJA NGOME" YA CUF KATA YA NKOWE, JIMBO LA RUANGWA

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Sister Nelly Membe wa Shirika la Bikira Maria Msaada wa Wakristu la Ndanda,katika Kata ya Nkowe ...

JAPAN YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA SHILINGI BILIONI 1.4 KWA AJILI YA KUFANYA USANIFU WA KINA WA BARABARA YA MWENGE HADI MOROCCO, DAR ES SALAAM
SALA YA EID AL ADH'HA: MUFTI WA TANZANIA AWAASA WASILAMU KUITUNZA AMANI KWANI NI KAMA YAI
ASKARI WANAWAKE WA JKT MGULANI WAFANYA USAFI WODI YA WAZAZI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA TEMEKE.





Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Sister Nelly Membe wa Shirika la Bikira Maria Msaada wa Wakristu la Ndanda,katika Kata ya Nkowe Wilayani Ruangwa, Desemba 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Sister Mfurahishi Choaji wa Shirika la Bikira Maria Msaada wa Wakristu la Ndanda,katika Kata ya Nkowe Wilayani Ruangwa, Desemba 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiwa na mganga mkuu wa kituo cha afya Nkowe Dk. Paul Mbinga,wakati akikagua ujenzi wa nyumba ya daktari, Waziri Mkuu yupo Wilayani Ruangwa kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka ambapo aliamua kukagua miradi ya maendeleo jimboni kwake. Desemba 29, 2017.


Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akipewa maelezo ya ujenzi wa maabara katika kituo cha afya Nkowe na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ruangwa, Waziri Mkuu yupo Wilayani Ruangwa kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka ambapo aliamua kukagua miradi ya maendeleo jimboni kwake. Desemba 29, 2017. 


Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Kata ya Nkowe,baada ya kutembelea na kukagua kituo cha afya Nkowe Wilayani Ruangwa,. Desemba 29, 2017.


Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akifungua Tawi la vijana wakereketwa wa CCM la Majaliwa Camp,katika Kata ya Nkowe Wilayani Ruangwa, Desemba 29, 2017. 


Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akipokea wanachama wapya 60 wa Kata ya Nkowe Wilayani Ruangwa, kutoka Chama cha Wananchi (CUF) ambao wameamua kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM).
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea wanachama wapya 60 kutoka Chama cha Wananchi (CUF) ambao wameamua kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM).
Wanachama hao wamepokelewa leo mchana (Ijumaa, Desemba 29, 2017) kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji cha Nkowe kata ya Nkowe, wilayani Ruangwa mkoani Lindi.
Kabla ya kuwakabidhi kadi za CCM, Waziri Mkuu alipokea kadi za CUF kutoka kwa vijana saba kwa niaba ya wenzao 60. Vijana hao ni Hamisi Juma, Fatuma Abdallah, Mwajuma Mohammed, Thomas Moto, Zainab Nachiluku, Samia Said na Juma Said.
Vijana hao saba waliokabidhiwa kadi mpya za CCM pamoja na wenzao 53, walikula kiapo cha uaminifu.
Kwa mujibu wa Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Bw. Barnabas Essau wanachama wote ni vijana ambao wanajishughulisha na shughuli mbalimbali na wameridhishwa na utendaji wa Serikali ya awamu ya tano.
Bw. Essau alisema wanachama hao wote wametoka vijiji vya Kipindimbi, Nkowe na Mpumbe.
Novemba 5, mwaka huu, Waziri Mkuu alipokea wanachama 37 kutoka vyama vya CUF na CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Mbekenyera, wilayani Ruangwa.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MKUU MAJALIWA "AIVUNJA NGOME" YA CUF KATA YA NKOWE, JIMBO LA RUANGWA
WAZIRI MKUU MAJALIWA "AIVUNJA NGOME" YA CUF KATA YA NKOWE, JIMBO LA RUANGWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjFFWbTtnyWzYZE_P1c6tbbVyGlqjEN1emNMtFCP8wIFYrNqHHw0RmDpuM7DLb6fxGrK4_QBooRuJmlq4XvY_wN6BoVPa746KVvSTJiqYzW07jTxMtSnd4pk2NwEombcG0i0D9ecnHeSJPY/s640/PMO_4199.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjFFWbTtnyWzYZE_P1c6tbbVyGlqjEN1emNMtFCP8wIFYrNqHHw0RmDpuM7DLb6fxGrK4_QBooRuJmlq4XvY_wN6BoVPa746KVvSTJiqYzW07jTxMtSnd4pk2NwEombcG0i0D9ecnHeSJPY/s72-c/PMO_4199.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/waziri-mkuu-majaliwa-aivunja-ngome-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/waziri-mkuu-majaliwa-aivunja-ngome-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy