SALA YA EID AL ADH'HA: MUFTI WA TANZANIA AWAASA WASILAMU KUITUNZA AMANI KWANI NI KAMA YAI
HomeJamii

SALA YA EID AL ADH'HA: MUFTI WA TANZANIA AWAASA WASILAMU KUITUNZA AMANI KWANI NI KAMA YAI

SHEIKH Mkuu wa Tanzania, Mjufti Abubakary Bin Zubeiry, amewaasa Waislamu nchini kuitunza amani kwani ni kama yai. ...

KIJANA GIRL GUIDES APAMBANA MEXICO KUWA MLIMA KILIMANJARO UPO TANZANIA BADALA YA KENYA
WAZIRI MWIGULU NA WATENDAJI WAKE WAKUU WAJADILI BAJETI YA WIZARA YAKE IKIWA KABLA YA KUIWASILISHA KWENYE BUNGE MJINI DODOMA
MITANDAO YA KIJAMII INAVYOWEZA KUNUFAISHA BIASHARA YAKO



SHEIKH Mkuu wa Tanzania, Mjufti Abubakary Bin Zubeiry, amewaasa Waislamu nchini kuitunza amani kwani ni kama yai.
"Unajua yai lilivyo, ukilichezea likakuponyoka na kudondoka chini, huwezi tena kulikusanya na kulitumia, hivyo niwajibu wetu sisi Waislamu na wananchi kwa ujumla kuitunza amani tuliyo nayo na huu ndio ujumbe wangu muhimu kwa leo hii." Alifafanua Mufti Zubeiry baada ya ibada ya sala ya Eid Al Edh'ha na Baraza la Eid lililofanyika Masjid (Msikiti) wa Taqwa, ulioko Ilala Bungoni jijini Dar es Salaam leo asubuhi Septemba 1, 2017.
Mufti Zubeiry amesema, Mwenyezimungu aliwaambia waliofarakana kuwa hawawezi kuingia peponi mpaka wakapatane kwanza, na kwa hakika tunawaomba watu wote waliohitilafiana, wenye chuki, wenye vinyongo, wenye vifundo, waondoshe na leo ndio siku ya kukaa pamoja na kula pamoja, katika sikukuu hii ya Eid al hadh'ha, alisema Mufti.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SALA YA EID AL ADH'HA: MUFTI WA TANZANIA AWAASA WASILAMU KUITUNZA AMANI KWANI NI KAMA YAI
SALA YA EID AL ADH'HA: MUFTI WA TANZANIA AWAASA WASILAMU KUITUNZA AMANI KWANI NI KAMA YAI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjp_aO3iyeR6mH3dipirT0p4aqQcLd7PU8nHlQPjr45n9fsXPBAxn2EqEcFgSuiRRRzoETZpfjWT4Z6P4X9L0KGq8WU3nQilXSFyK2jPFYyOLJEBO9aRMasKtuTCWBe6Zo2K33lPOM_oVSz/s320/IMG_20170901_095057.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjp_aO3iyeR6mH3dipirT0p4aqQcLd7PU8nHlQPjr45n9fsXPBAxn2EqEcFgSuiRRRzoETZpfjWT4Z6P4X9L0KGq8WU3nQilXSFyK2jPFYyOLJEBO9aRMasKtuTCWBe6Zo2K33lPOM_oVSz/s72-c/IMG_20170901_095057.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/sala-ya-eid-al-adhha-mufti-wa-tanzania.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/sala-ya-eid-al-adhha-mufti-wa-tanzania.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy