RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI, AKIWEMO RAIS MSTAAFU MHE. BEN MKAPA, MAKAMU MWKT WA CCM BARA, MWKT WA JUMUIYA YA WAZAZI (CCM), MWKT UWT, MWKT WA UVCCM IKULU DAR
HomeJamii

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI, AKIWEMO RAIS MSTAAFU MHE. BEN MKAPA, MAKAMU MWKT WA CCM BARA, MWKT WA JUMUIYA YA WAZAZI (CCM), MWKT UWT, MWKT WA UVCCM IKULU DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamin Mk...

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA MABALOZI, YUMO DKT. EMMANUEL NCHIMBI NA MBELWA KAIRUKI
KAMPENI MAALUM YA KUINUA MAADILI KITAIFA JAN - DEC, 2017
WAZIRI NAPE AENDELEA NA ZIARA YAKE KWA VYOMBO VYA HABARI ATOA RAI WANAHABARI KUISAIDIA SERIKALI KATIKA MKAKATI WAKE WA KUJENGA UCHUMI WA KATI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamin Mkapa (kulia) pamoja na Makamu wa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara Phillip Mangula (kushoto) mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamin Mkapa (kushoto) pamoja na Makamu wa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara Philip Mangula Ikulu jijini Dar es Salaam.


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Dkt. Edmund Mndolwa, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Gaudensia Kabaka pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana(UVCCM) Herry James mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana(UVCCM) Herry James mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Gaudensia Kabaka


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Dkt. Edmund Mndolwa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.



Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana(UVCCM) Herry James Ikulu jijini Dar es Salaam. (PICHA NA IKULU)



Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI, AKIWEMO RAIS MSTAAFU MHE. BEN MKAPA, MAKAMU MWKT WA CCM BARA, MWKT WA JUMUIYA YA WAZAZI (CCM), MWKT UWT, MWKT WA UVCCM IKULU DAR
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI, AKIWEMO RAIS MSTAAFU MHE. BEN MKAPA, MAKAMU MWKT WA CCM BARA, MWKT WA JUMUIYA YA WAZAZI (CCM), MWKT UWT, MWKT WA UVCCM IKULU DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQ34NknOO9wxroinheQdeBeosCFHoIWHrwpP9V2W9Adu0WkxBC6rr_9SSeCZikFCgFulLsBHvxXGb3DHyld8-mp_V3G_IPFcXPU1XlGXJOx4NNEWhKIrb1PkdYvHTfmEmnqVtjE3wE4qA/s640/3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQ34NknOO9wxroinheQdeBeosCFHoIWHrwpP9V2W9Adu0WkxBC6rr_9SSeCZikFCgFulLsBHvxXGb3DHyld8-mp_V3G_IPFcXPU1XlGXJOx4NNEWhKIrb1PkdYvHTfmEmnqVtjE3wE4qA/s72-c/3.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/05/rais-dkt-magufuli-akutana-na-wageni.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/05/rais-dkt-magufuli-akutana-na-wageni.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy