Kiongozi wa Timu wa Taasisi ya Uingereza ya DFID, David McGinty akisisitiza jambo kwa waandishi wa jijini Dar es Salaam jana, katika...
Kiongozi wa Timu wa Taasisi ya Uingereza ya DFID, David McGinty akisisitiza jambo kwa waandishi wa jijini Dar es Salaam jana, katika Mkutano wa utangulizi wa wiki ya ubunifu wa maswala ya utafiti, maendeleo, ujasiriamali, na sayansi, unaotarajiwa kuanzia Jumatatu mpaka Jumamosi kwenye Tume ya Sayansi na Tekinolojia (COSTECH). Pamoja naye (wa pili kushoto) ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu COSTECH, Dkt. Amos Nungu na Mwakilishi wa UKaid wa Kitengo cha Maendeleo ya Kimataifa, Beth Arthy (kushoto) na wadau wa maonesho hayo. |
COMMENTS