PROF. KAMUZORA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora anayeshughulikia (Sera na Uratibu) akimkaribisha Balozi wa Jamhuri ya Watu wa ...



Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora anayeshughulikia (Sera na Uratibu) akimkaribisha Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Wang Ke alipowasili  katika Ofisi yake Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni,2018.




Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) akifafanua jambo katika kikao na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Tanzania Wang Ke kilichofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni, 2018.




Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) akimsikiliza Balozi wa China nchini Tanzania Wang Ke akielezea jambo wakati wa mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi ya Waziri  Mkuu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni,2018




Balozi wa Jamhuri ya watu wa China Tanzania Wang Ke akitia saini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu)




Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (sera na Uratibu) katika picha ya pamoja na Balozi wa China nchini Tanzania Wang Ke baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisi kwake Jijini Dar es Salaam.


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) katika picha ya pamoja na Balozi wa China nchini Tanzania Wang Ken na wajumbe walioshiriki katika mazungumzo hayo Ofisi Jijini Dar e s Salaam arehe 11 Juni, 2018


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: PROF. KAMUZORA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI
PROF. KAMUZORA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjV12hXr-sOdfTc9Yic8fc3v1TV_opg1odRforXjbFK-rMCfcQEVuKetCjJcXl-_tJIdzqzwhjwPagzZyb1ToVG_MRaA5e1DWEhOln-BVKyTB8y6OLZ5M46AywdKNC9NhtY2osAfsfmdgs/s640/8H3H7792.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjV12hXr-sOdfTc9Yic8fc3v1TV_opg1odRforXjbFK-rMCfcQEVuKetCjJcXl-_tJIdzqzwhjwPagzZyb1ToVG_MRaA5e1DWEhOln-BVKyTB8y6OLZ5M46AywdKNC9NhtY2osAfsfmdgs/s72-c/8H3H7792.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/06/prof-kamuzora-akutana-na-balozi-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/06/prof-kamuzora-akutana-na-balozi-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy