WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STAR TIMES BUNGENI MJINI DODOMA
HomeJamii

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STAR TIMES BUNGENI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakiwa kwenye picha ya pamoja na Ra...

DKT. KAYANDABILA: SERIKALI KUENDELEA KUKIJENGEA UWEZO CHUO CHA KODI.
SHIRIKA LA COCONUT FOUNDATION LAWATANGAZA WASHINDI KATIKA SHINDANO YA HERUFI SAHIHI YA SENTENSI ZA KIINGEREZA
HITIMISHO YA TIBA YA UPASUAJI NA UZIBUAJI MISHIPA YA MOYO KWA MISHIPA YA DAMU WA MKONO (CATHETERIZATION) KWA MTAMBO WA CATHLB NA JKCI




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Makampuni ya Star Times Group, Pang Xin Xing (watatu kushoto) na ujumbe wake baada ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Star Media Tanzania Limited,Wang Xiao Bo. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano wa Makampuni ya Star Times Group, Zhang Ye na Meneja Uhusiano wa kampuni ya Star Media Tanzania Limited, Juma Suluhu Sharobaro (kushoto). (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Makampuni ya Star Times Group, Bw. Pang Xin Xing kabla ya mazungumzo yao, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. Kulia ni Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe. 
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STAR TIMES BUNGENI MJINI DODOMA
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STAR TIMES BUNGENI MJINI DODOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhfaNtS3kl_z-CRiQ9NrEbYT4BY1kGgts3Z5yi5ged9UkoshwYnc6U-RFVanNKZqkVmC8rzKdLkEu1fJwkRi5GFvHb7MtBecAOsJcqJoAE2ePfck7jiknplZ6LDlpIF6mvbk48MKeLI1FQ/s640/PMO_0711.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhfaNtS3kl_z-CRiQ9NrEbYT4BY1kGgts3Z5yi5ged9UkoshwYnc6U-RFVanNKZqkVmC8rzKdLkEu1fJwkRi5GFvHb7MtBecAOsJcqJoAE2ePfck7jiknplZ6LDlpIF6mvbk48MKeLI1FQ/s72-c/PMO_0711.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-akutana-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-akutana-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy