DKT. KAYANDABILA: SERIKALI KUENDELEA KUKIJENGEA UWEZO CHUO CHA KODI.
HomeJamii

DKT. KAYANDABILA: SERIKALI KUENDELEA KUKIJENGEA UWEZO CHUO CHA KODI.

Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 10 ya Chuo cha Usimamizi wa Kodi (ITA), Dkt. Yamungu Kayandabila (kushoto) akiongozwa na Kamishna Mkuu wa Mam...

PSPF YATOA SEMINA KWA MAAFISA WA POLISI WANAWAKE KWENYE MKUTANO WA SHIRIKA LA MAJESHI YA POLISI KUSINI MWA AFRIKA SARPCO
BODI YA (AQRB) YAWAPA ELIMU WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MAJANI YA CHAI JUU YA FANI YA UBUNIFU MAJENGO
MAKAMU WA RAIS AZINDUA KAMPENI YA MIMI NA WEWE MKOA WA MJINI MAGHARIBI






Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 10 ya Chuo cha Usimamizi wa Kodi (ITA), Dkt. Yamungu Kayandabila (kushoto) akiongozwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Charles Kicheere kuingia ukumbini kwa ajili ya kuanza kwa hafla ya mahafali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Novemba 18, 2017.




Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 10 ya Chuo cha Usimamizi wa Kodi (ITA), Dkt. Yamungu Kayandabila (kushoto) akiongozwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Charles Kicheere kuingia ukumbini kwa ajili ya kuanza kwa hafla ya mahafali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Novemba 18, 2017.



Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Kodi (ITA) pichani wakifuatilia hotuba zilizokuwa zikitolewa na wageni mbalimbali waliohudhuria mahafahali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Novemba 11, 2017.


Baadhi ya Viongozi na Wahadhiri wa Chuo cha Usimamizi wa Kodi wakiongozwa na kikosi cha bendi cha Jeshi la Polisi kuingia katika ukumbi wa Multipurpose katika Chuo hicho wakiwa tayari kuanza mahafali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Novemba 18, 2017.


Baadhi ya ndugu na jamaa za wanafunzi waliohitimu katika Chuo cha Usimamizi wa Kodi wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa mahafali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Novemba 18, 2017.


Mkurugenzi wa Idara ya Elimu na Huduma kwa Walipa Kodi wa Malamka ya Kodi Tanzania (TRA), (katikati) Richard Kayombo akijadiliana jambo na Maafisa Waandamizi wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) wakati wa mahafali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Novemba 18, 2017.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: DKT. KAYANDABILA: SERIKALI KUENDELEA KUKIJENGEA UWEZO CHUO CHA KODI.
DKT. KAYANDABILA: SERIKALI KUENDELEA KUKIJENGEA UWEZO CHUO CHA KODI.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLFVXiaAMign8GrazXPVlmmwho0B_AhEwZKUO5AWJejJsyT-7oQn4uUlXnd-dynAhIjY8C5hyJo1IsykW4ScgjWbJblGKR2e1eqnsN0S6GetKdyyO3fK8aSW96cTViTI6eIOlh2PJRqmKa/s640/4..JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLFVXiaAMign8GrazXPVlmmwho0B_AhEwZKUO5AWJejJsyT-7oQn4uUlXnd-dynAhIjY8C5hyJo1IsykW4ScgjWbJblGKR2e1eqnsN0S6GetKdyyO3fK8aSW96cTViTI6eIOlh2PJRqmKa/s72-c/4..JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/dkt-kayandabila-serikali-kuendelea.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/dkt-kayandabila-serikali-kuendelea.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy