Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi (AQRB) , Dkt Geraldine Kikwasi akizungumza na Wana...
Makamu
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji
Majenzi (AQRB) , Dkt Geraldine Kikwasi akizungumza na Wanafunzi wa
kidato cha pili wa shule ya Sekondari Majani ya Chai iliyoko wilayani
Ilala, jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya kuwahamasisha Wanafunzi
wa kidato cha pili wa shule hiyo kuwapa elimu kuhusiana na fani mbili
za ubunifu majengo na Wakadriaji Majenzi kwa masomo ya sayansi.
ARCH.
Daniel Matondo kutoka Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji
Majenzi akiwaelezea Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya Sekondari
Majani ya Chai shughuli mbalimbali zinazofanywa na Bodi ya Usajili wa
Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi katika sekta ya ujenzi.
Mwalimu
wa shule ya Sekondari Majani ya Chai akiwasisitizia wanafunzi kusoma
zaidi masomo ya sayansi wakati wakati wa ziara ya kuwahamasisha
Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule hiyo.
Wanafunzi
kutoka chuo cha ardhi. wanayesomea fani ya Wabunifu Majengo wakiwapa
elimu wanafunzi kuhusiana wasomo ya fani ya wabunifu majenge.
Afisa
Uhusiano kutoka Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji
Majenzi (AQRB) Bw.Hamis Sungura. akiwatambulisha viongozi wa Bodi.
Wanafunzi
wa kidato cha pili wa shule ya Sekondari Majani ya Chai iliyoko
wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam wakifuatilia elimu ya fani mbili ya
ubunifu majengo na Wakadriaji Majenzi kwa masomo ya sayansi.
COMMENTS