SHIRIKA LA COCONUT FOUNDATION LAWATANGAZA WASHINDI KATIKA SHINDANO YA HERUFI SAHIHI YA SENTENSI ZA KIINGEREZA
HomeJamii

SHIRIKA LA COCONUT FOUNDATION LAWATANGAZA WASHINDI KATIKA SHINDANO YA HERUFI SAHIHI YA SENTENSI ZA KIINGEREZA

SHIRIKA lisilo la Kiserikali la Coconut Foundation lenye Makao yake Makuu Kijitonyama Manispaa ya Kinondoni jijini Dar-es-Salaam, leo h...

MAONESHO YA SABASABA 2017;FINCA MICROFINANCE BANK WANG'ARA KATIKA KUTUMIA TEKNOLOJIA KUHUDUMIA WATEJA
WAKAZI WA JIJI LA DAR WAFURIKA KATIKA BANDA LA UBER NA KUJIUNGA NA HUDUMA
MWIGULU MGENI RASMI MKUTANO WA KIMATAIFA WA SHUKRANI WA KULIOMBEA TAIFA KATIKA UWANJA WA UHURU DAR ES SALAAM


SHIRIKA lisilo la Kiserikali la Coconut Foundation lenye Makao yake Makuu Kijitonyama Manispaa ya Kinondoni jijini Dar-es-Salaam, leo hii limewatangaza washindi kumi baada ya kumalizika kwa shindano la 'National Spelling bee' kutaja herufi sahihi ya sentensi za kiingereza, lililoanza Novemba 11 kwa ufadhili wa shirika la posta Tanzania. 

Wahusika wa shindano hilo, walikuwa wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari (English Medium School). Shindano hilo lilikuwa na lengo la kuwajengea uwezo na kujiamini katika matumizi ya lugha ya Kiingereza.

Washindi hao wanatarajia kwenda kwenye mashindano hayo nchini Uganda mnamo mwezi Desemba mwaka huu, ambako mashindano hayo yatazijumuisha nchi za Afrika Mashariki.

Shirika la Posta Tanzania lilikuwa miongoni mwa wafadhili wa shindano hilo.
Afisa Masoko wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Maria Sanga (katikati), akiwa na baadhi ya washiriki wa shindano la Spelling Bee pamoja na mwalimu wao baada ya kutembelea meza ya Shirika la Posta Tanzani na kupewa zawadi mbalimbali ikiwepo kofia. 
Washiriki wa shindano la Spelling Bee wakiwa ndani ya ukumbi wakisbiri muda wa kuanza shindano hilo jana katika ukumbi wa jumba la Makumbusho ya Taifa jijini Dar-es-Salaam. 
Afisa Masoko Mwandamizi wa Shirika la Posta Tanzania, Bw. Phillip Kowero, akifunga rasmi shindano la Spelling Bee lililomalizika Novemba 18 katika ukumbi wa jumba la Makumbusho ya Taifa, ambapo Shirika la Posta Tanzania wakiwa ni moja kati wadhamini wa shindano hilo. 
Afisa Masoko Mwandamizi wa Shirika la Posta Tanzania, Bw. Philip Kowero akimkabidhi cheti Mwalimu wa kutoka Shule ya Feza baada ya shule yao, kufanya vizuri katika shindano hilo. 
Afisa Masoko Mwandamizi wa Shirika la Posta Tanzania, Bw. Philip Kowero akimkabidhi cheti mmoja wa wanafunzi baada ya shule yake, kuwa moja ya shule zilizoshiriki na kufanya vizuri katika shindano hilo.  
Washindi wakiwa wamekaa na zawadi zao walizotunukiwa. 
Baadhi ya washindi wa shindano la Nationa Spelling Bee wakiwa katika picha ya pamoja wa katikati ni mshindi kutoka Shule ya Feza, Bw. Adnan Abdallah. Kulia kwake ni Prokrith Ghandi kutoka Shule ya Aga Khan na kushoto ni Bi. Jackline, jijini Dar-es-Salaam. 
Walimu kutoka Shule mbalimbali na wazazi wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washindi wa shindano la National Spelling Bee, lililofanyika katika ukumbi wa jumba la Makumbusho jijini Dar-es-Salaam. 
Washindi wa shindano la National Spelling Bee wakiwa katika picha ya pamoja, mara baada ya kumalizika kwa shindano hilo.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SHIRIKA LA COCONUT FOUNDATION LAWATANGAZA WASHINDI KATIKA SHINDANO YA HERUFI SAHIHI YA SENTENSI ZA KIINGEREZA
SHIRIKA LA COCONUT FOUNDATION LAWATANGAZA WASHINDI KATIKA SHINDANO YA HERUFI SAHIHI YA SENTENSI ZA KIINGEREZA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEimVCmxaeoACk-itaKXlzsWNvMoqnogPITLxkCZAKQHXccELfBgoYSUDd5L-cQ3Sb8xXrZqUeYx2ebOR791yES77ujZsv3s1aeidg3FpfgELol3JG36anLfnmrrtmrl18T0RPNlQCMetdA/s640/IMG_0133.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEimVCmxaeoACk-itaKXlzsWNvMoqnogPITLxkCZAKQHXccELfBgoYSUDd5L-cQ3Sb8xXrZqUeYx2ebOR791yES77ujZsv3s1aeidg3FpfgELol3JG36anLfnmrrtmrl18T0RPNlQCMetdA/s72-c/IMG_0133.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/shirika-la-coconut-foundation.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/shirika-la-coconut-foundation.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy