HITIMISHO YA TIBA YA UPASUAJI NA UZIBUAJI MISHIPA YA MOYO KWA MISHIPA YA DAMU WA MKONO (CATHETERIZATION) KWA MTAMBO WA CATHLB NA JKCI
HomeJamii

HITIMISHO YA TIBA YA UPASUAJI NA UZIBUAJI MISHIPA YA MOYO KWA MISHIPA YA DAMU WA MKONO (CATHETERIZATION) KWA MTAMBO WA CATHLB NA JKCI

Mufti Sheikh Abubakari Zubeir bin Ally akimkabidhi tuzo ya shukrani Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Pro...

DKT. KIGWANGALLA AMWAGA CHECHE, AFUTA UTARATIBU WA UTOAJI WA VIBALI VYA UWINDAJI WA KITALII, AAPA KUTOYUMBISHWA NA RUSHWA NA FITNA
MASHINDANO YA WANAFUNZI WA SEKONDARI KWA MASWALA YA KODI YAFANA DAR ES SALAAM
RAIS DKT MAGUFULI ATUNUKU VYETI VYA SHUKRANI NA PONGEZI KWA KAMATI MAALUMU ZA UCHUNGUZI NA MAJADILIANO KUHUSU RASILIMALI ZA MADINI NCHINI

Mufti Sheikh Abubakari Zubeir bin Ally akimkabidhi tuzo ya shukrani Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi wakati wa hafla fupi ya kumaliza kambi ya siku nne ya upasuaji wa kuzibua mishipa ya moyo kupitia mshipa wa damu wa mkono (Catheterization) kwa kutumia mtambo wa Cathlab iliyofanywa na Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Kimataifa ya Kiislamu ya Misaada (IIRO) ya nchini Saudi Arabia. Kushoto ni Balozi wa Saudi Arabia Nchini Mhe. Mohamed bin Mansour Al Malik.
Balozi wa Saudi Arabia Nchini Mhe. Mohamed bin Mansour Al Malik akimkabidhi tuzo ya shukrani Mufti Sheikh Abubakari Zubeir bin Ally katika hafla fupi ya kumaliza kambi ya siku nne ya upasuaji wa kuzibua mishipa ya moyo kupitia mshipa wa damu wa mkono (Catheterization) kwa kutumia mtambo wa Cathlab iliyofanywa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kimataifa ya Kiislamu ya Misaada (IIRO) ya nchini Saudi Arabia. Jumla ya wagonjwa 33 walifanyiwa upasuaji katika kambi hiyo.
Kaimu Mkurugenzi wa Tiba kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Dkt. Doroth Gwajima akiishukuru Serikali ya Saudi Arabia kupitia Taasisi ya Kimataifa ya Kiislamu ya Misaada (IIRO) ya nchi hiyo kwa kutuma wataalamu wake hapa nchini kutoa huduma ya upasuaji wa kuzibua mishipa ya moyo kupitia mshipa wa damu wa mkono (Catheterization) kwa kutumia mtambo wa Cathlab iliyofanyika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Jumla ya wagonjwa 33 walifanyiwa upasuaji katika kambi hiyo.
Madaktari bigwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Taasisi ya Kimataifa ya Kiislamu ya Misaada (IIRO) ya nchini Saud Arabia wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kufanya upasuaji wa kuzibua mishipa ya moyo kupitia mshipa wa damu wa mkono (Catheterization) kwa kutumia mtambo wa Cathlab kwa wagonjwa 33.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: HITIMISHO YA TIBA YA UPASUAJI NA UZIBUAJI MISHIPA YA MOYO KWA MISHIPA YA DAMU WA MKONO (CATHETERIZATION) KWA MTAMBO WA CATHLB NA JKCI
HITIMISHO YA TIBA YA UPASUAJI NA UZIBUAJI MISHIPA YA MOYO KWA MISHIPA YA DAMU WA MKONO (CATHETERIZATION) KWA MTAMBO WA CATHLB NA JKCI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjj9T5Gt5m9PQtTw4MXInoVpGFg4FDBFPP2KTJHMTNabd3iXKcWGlgIok7s68RoKRGsze3kTrhbr_kht0vqfpTRI2jro3nhCrpLjwU23RK_fiJm_HmEUZDjNEowhaZ09f8jfsODfdn0iAOh/s640/Picha-no.-1-5.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjj9T5Gt5m9PQtTw4MXInoVpGFg4FDBFPP2KTJHMTNabd3iXKcWGlgIok7s68RoKRGsze3kTrhbr_kht0vqfpTRI2jro3nhCrpLjwU23RK_fiJm_HmEUZDjNEowhaZ09f8jfsODfdn0iAOh/s72-c/Picha-no.-1-5.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/hitimisho-ya-tiba-ya-upasuaji-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/hitimisho-ya-tiba-ya-upasuaji-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy