VYANDARUA BURE KWAWAJAWAZITO NA WATOTO, ATAKAYEUZA KUIONA
HomeJamii

VYANDARUA BURE KWAWAJAWAZITO NA WATOTO, ATAKAYEUZA KUIONA

WAZIRI Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameagiza Waganga Wakuu Wa Mikoa,Wa Wilaya na Waganga Wafa...

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA UMOJA WA WANAMICHEZO WA MPIRA WA MIGUU KUTOKA FC GRACE UNITED STATES OFISINI KWAKE MJINI DODOMA LEO
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NORWAY BORGE BRENDE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
MAJINA 16 YA WATU WANAOTUHUMIWA KUENDESHA MAUAJI HUKO KIBITI, RUFIJI NA MKURANGA YAWEKWA HADHARANI






WAZIRI
Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
ameagiza Waganga Wakuu Wa Mikoa,Wa Wilaya na Waganga Wafawidhi kuweka
Matangazo katika Vituo vya Afya, Zahanati na Hospitali kwamba huduma za
upimaji na Matibu ya Malaria ni bure na Wananchi hawatakiwi kulipia
kwakuwa kuna wafadhili wanao gharamia gharama hizo. 






Maagizo
hayo aliyatoa jana Mkoani Kigoma katika Zahanati ya Mwandiga Wakati
akizindua ugawaji wa Vyandarua endelevu vyenye dawa ya Muda mrefu, kwa
Wakina Mama wajawazito na Watoto wenye umri wa Mwaka Moja wa ushirikiano wa Serikili ya Tanzania kupitia wizara ya afya kitengo cha kudhiti
malaria na Shirika la misaada la marekani (USAID) ambapo alipokea
Malalamiko kutoka kwa Wananchi wakidai kutozwa fedha kwaajili ya
Matibabu na Wakati serikali imeagiza Zoezi hilo ni bure. 

Waziri Mwalimu alisema Ugawaji endelevu wa Vyandarua ni mradi unaoendeshwa kwa
pamoja na shirika la JohnsHopkins Center for Communication na
Vectorworks kwa ufadhili wa shirika la misaada la Marekani (USAID)
kupitia mfuko wa Rais wa Marekani wa Kudhibiti malaria Na kuratibiwa na
Serikali kupitia Mradi wa Kupambana na Malaria NMCP kwa hiyo vyandarua
hivyo ni bure na Wananchi wanatakaiwa wasilipie. 

Aidha
alisema ofisi ya takwimu (NBS) katika kaya mwaka 2017 zilionyesha
kupungua kwa kiwango cha Maambukizi ya Malaria hadi chini ya asilimia
10% kutokana na Mikakati iliyowekwa na Wizara kuhakikisha wanatokomeza
ugonjwa wa Malaria. 

Alisema mikakati ya Serikali ni
kuongeza kasi ya upimaji wa Malaria kwa kutumia kipimo cha (mRDT)
Hadubini na Kutumia dawa za mseto pindi wanapothibitika kuwa na Vimelea
vya malaria , kuwapatia Wajawazito Vyandarua vyenye viuatilifu ili
kujikinga kuumwa na Mbu pia kuwapatia dawa za Sp kwa kipindi maalumu
wakati wa ujauzito ilikuwakinga na madhara yatokanayo na Malaria. 

"Niendelee
Kusisitiza dawa za malaria na Matibabu ni bure Wananchi hawatakii
kulipia, wafadhili wetu wanajitoa sana kuhakikisha Suala la Malaria
liishe , Waganga wafawidhi wanatuangusha sana niombe muweke matangazo na
namba za simu kwenye vituo vya Afya iliwananchi watakao lipishwa watoe
Malalamiko yao ilikuweza kuondokana na changamoto ya Ugonjwa wa
Malaria", alisema Mwalimu. 

Kwa upande wake Mganga
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Vijijini , Elisha Robarti alisema zahanati hiyo
inakabiliwa na upungufu wa Watumishi wahitaji ni watumishi 15 na
waliopo ni watumishi saba hali inayopelekea Watumishi kulemewa. 

Wakitoa
Malalamiko yao Wananchi waliofika kupata huduma Katika Zahanati hiyo
mbele ya Mh Waziri, Lydia Leonard alisema Wamekuwa wakitozwa shilingi
2500/= kwaajili ya Kipimo cha Malaria na kulipa dawa wanapofika kwaajili
ya Matibabu . 

Alisema pamoja na kuwa na Kadi ya
bima ya Afya lakini bado wanaendelea kutozwa fedha na kumuomba Waziri
kusimamia suala hilo iliwaweze kupata Matibabu bure kama serikali inavyo
elekeza. 

Hata hivyo Wananchi hao Shukuru Issa
aliomba Serikali kuwajengea Kituo cha Afya Kata ya Mwandiga pamoja na
kuboreshewa huduma Za Maji kwani maji wanayo yatumia sio salama na
Wanalazimika kutumia Kilomita 13 kufuata huduma na Waziri alitoa
maelekezo kwa halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Vijijini kuanza ujenzi wa
kituo hicho kwakuwa kata hiyo inawatu wengi na inahitajika kupata kituo
cha Afya.


WAZIRI Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ''Vyandarua bure kwa Wajawazito na Watoto, atakaeuza kukiona''. Waziri Ummy  akizungumza leo kwenye ugawaaji wa Vyandarua katika Zahanati ya Mwandiga
mapema leo, mkoani Kigoma.
WAZIRI
Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
akimkabidhi chandarua chenye dawa ya muda mrefu Mwantum Mohammed baada
ya kuzindua kuzindua ugawaji endelevu wa vyandarua vyenye dawa ya muda
mrefu kwa akinamama wajawazito na watoto wenye umri wa mwaka mmoja,
mpango ambao unaendeshwa na shirika la Johns Hopkins kupitia mradi wa
Vectors Work chini ya ufadhili wa USAID kupitia mfuko wa Rais wa
Marekani wa kupambana na Malaria. Kulia ni mwakilishi wa USAID Tanzania
Andy Karas. 
Mwakilishi
wa USAID Tanzania Andy Karas akimkabidhi chandarua chenye dawa ya muda
mrefu Asha Juma baada ya uzinduzi wa ugawaji endelevu wa vyandarua
vyenye dawa ya muda mrefu kwa akinamama wajawazito na watoto wenye umri
wa mwaka mmoja, mpango ambao unaendeshwa na shirika la 
 Johns Hopkins kupitia mradi wa Vectors Work chini ya ufadhili wa USAID kupitia mfuko wa Rais wa Marekani wa kupambana na Malaria. 

WAZIRI
Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
akiwasikiliza akinamama wanaudhuria kliniki kwenye Zahanati ya Mwandinga
Wilaya ya Kigoma Vijijini baada ya kuzindua ugawaji endelevu wa
vyandarua vyenye dawa ya muda mrefu kwa akinamama wajawazito na watoto
wenye umri ya mwaka mmoja mpango ambao unaendesha na shirika la 
 Johns Hopkins kupitia mradi wa Vectors Work chini ya ufadhili wa USAID kupitia mfuko wa Raisi wa Marekani wa kupambana na Malaria.
WAZIRI
Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
akiwasikiliza akinamama wanaudhuria kliniki kwenye Zahanati ya Mwandinga
Wilaya ya Kigoma Vijijini baada ya kuzindua kuzindua ugawaji endelevu
wa vyandarua vyenye dawa ya muda mrefu kwa akinamama wajawazito na
watoto wenye umri ya mwaka mmoja mpango ambao unaendeshwa na shirika la 
 Johns Hopkins kupitia mradi wa Vectors Work chini ya ufadhili wa USAID kupitia mfuko wa Raisi wa Marekani wa kupambana na Malaria.
WAZIRI wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu  akimkabidhi chandarua chenye dawa ya muda mrefu Mwantum Mohammed baada  ya kuzindua kuzindua ugawaji endelevu wa vyandarua vyenye dawa ya muda  mrefu kwa akinamama wajawazito na watoto wenye umri ya mwaka mmoja  mpango ambao unaendesha na shirika la 
 Johns Hopkins kupitia mradi wa Vectors Work  chini ya ufadhili wa USAID kupitia mfuko wa Rais wa Marekani wa kupambana na Malaria. 



Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: VYANDARUA BURE KWAWAJAWAZITO NA WATOTO, ATAKAYEUZA KUIONA
VYANDARUA BURE KWAWAJAWAZITO NA WATOTO, ATAKAYEUZA KUIONA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjIFALpQgtX-gAtEHzNKzu5Oe-xFkWVPYgeOJrK5r7TXIDh2eG_bVu3sqvto-VPsGmk4NeUnzWZRmM6fQTlU-Z4bKrxS0CSJpsoenBFakSeJbLpkk_tvfW8Q2rTUeo4lg6URfCZxYCEwYT6/s640/index.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjIFALpQgtX-gAtEHzNKzu5Oe-xFkWVPYgeOJrK5r7TXIDh2eG_bVu3sqvto-VPsGmk4NeUnzWZRmM6fQTlU-Z4bKrxS0CSJpsoenBFakSeJbLpkk_tvfW8Q2rTUeo4lg6URfCZxYCEwYT6/s72-c/index.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/vyandarua-bure-kwawajawazito-na-watoto.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/vyandarua-bure-kwawajawazito-na-watoto.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy